Nitajaribu utaratibu wa chai, kamba naruka japo sio kila siku.....hapo kwenye push-up sasa[emoji28] niko na kg 83, kulinganana na urefu wangu natakiwa niwe na atleast kg 70 kushuka chiniNilikuwa na kilo 85 sasa nina 67
•Naruka kamba mara 500 hadi 600 per day.
•Nimeachana na kitu kinaitwa chapati,maandazi. Napiga chai karanga zilizokaushwa.
•Asubuhi push up 15 na jioni 15
•Kwa wiki mara mbili nazunguuka uwanja mara5.
Msosi wa wastani ila matunda kila mara.
Hapa nilipo hakuna anayeamini kwa jinsi nilivyokata kitambi.
Nina mwezi wa sita tangu nianze.
Nna wasiwasi wewebhauna wasiwasi mwingi.Shangaa na wewe
Nakumbuka joto la uarabuni watu wanakunywa maji kama ng'ombe na matokeo yake wanakuwa na matumbo makubwa
Mimi sinywi maji kabisa na uzito wangu uko Sawa na urefu wangu
Lita 4 wanawezaje kunywa wakati mimi glass moja siwezi? [emoji1]
1. Acha kabisa kula wangaTumia Bidhaa za forever living products clean 9 kuweza kupungua uzito, kutoa kitambi ndani ya siku 9