Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Ndo hapo sasa...Aliye wazaa alikuwa anawazaa wote 9 bila hofu na bado hana hofu,wewe unapata hofu
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku mimi ni wa kwanza yaani first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufupi familia na wadogo zangu nane wananitazama mimi kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msongo mkali sana wa mawazo.
Nawaza sana mwakani nitakapomaliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nilibahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakini kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbili nusu nabaki nayo nusu natuma nyumbani.
Wanabodi nahisi maneno haya hayawezi eleza nachotaka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.
Neno "kutuchapia watoto" lilitafsiriwa vibaya.wanafunzi wanapigwa sana mashuleni sikuizi,,, ukifatilia kiundani zaidi utaona shida ni mwalimu na stress zake anahamishia kwa watoto bila sababu..ndomana nimemtahadharisha tu hapo
Naona unarahisisha maisha boss,Yaani unajipa stress kisa watoto waliozaliwa na mtu mwingine? Come on
Ukweli ni kuwa bado wewe ni kapuku sana kuwa first born haikufanyi ubebe majukumu yasiyokuhusu jitafute wewe mwenyewe ukijipata ndiyo hangaika na hao nduguzo but mbali na hapo ipambanie future yako acha kiherehere kwenye mambo yasiyokuhusu .
Ni ushauri tu maana unajipa stress vitu vya kijingakijinga lakini kwenye orientation uliambiwa hela ya accomodation na meals ni ya kuwatumia wazazi ??
Acha ujinga stress unajitafutia ww mwenyewe kwani kabla ya kupata mkopo hao watoto na wazazi wako waliishije? Tafakari mdogo wangu .
Lakini vipi nasikia eti kipa wa Simba mbarazil haruhusiwi kucheza bongo hivi ni kweli kaka mkubwa ?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ni sahihi lakini sio rahisi kama ulivosemaPambana na Hali yako Mzee baba,hao nane waliobaki waache wapambane na Hali zao Kwani ni walemavu au watoto?
Mambo ikikaa saw ndio ugeuke nyuma
Una mwandiko mzuriNi matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku mimi ni wa kwanza yaani first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufupi familia na wadogo zangu nane wananitazama mimi kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msongo mkali sana wa mawazo.
Nawaza sana mwakani nitakapomaliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nilibahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakini kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbili nusu nabaki nayo nusu natuma nyumbani.
Wanabodi nahisi maneno haya hayawezi eleza nachotaka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.
Ushauri mzuri,lakini mkuu kuwaaacha sio rahisi..naongea kitu ambacho nakijua.pole sana ndugu chakukushauri jikomboe kwanza wewe ukishajikomboa ndipo ukumbuke kuokoa wengine,we mwenyewe una hitaji ukomboz af tena dah...saidia pale unapoweza kila jicho litajililia ,tuliza akili,soma na elewa baada ya kumaliza na kufanikiwa ndo uje uwainue ndugu zako,umekosea sana kwa kuiaminisha familia yako uko vizuri.....jitahidi kuwa unalialia ili waamini bado unasota hujatoka kimaisha,wanalia shida kidogo tayali ushatuma pesa unawazoesha vibaya sikufundishi roho mbaya, ila inawezekanaje mateka kumkomboa mateka mwenzake ili hali nayeye ametekwa naye yupochini ya ulinzi kama walivyo mateka wenziye?...usilaumu waambie hali halisi kwamba nawewe hali ngumu safari bado...au we ni wale akifika hom misifa kibao suti kubwa mixa travota,malaptop ohh sisi bwana tunasoma huku tunalipwa sifa za kipuuzi matokeo yake unawajengea picha ushafanikiwa,hatimaye unakuwa kimbilio kwa shida zao....waaminishe kwamba bado nawewe unasota...kipindi kabla hujapata boom au univasity walikuwa wanaishi vipi? wewe ndo ulikosea
Nchi pekee ambayo inakubali mikataba ya kishenzi TUKOMAE!South usiende komaa bongo
Maisha yako anayajua mungu sisi hatujuiNi matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku mimi ni wa kwanza yaani first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufupi familia na wadogo zangu nane wananitazama mimi kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msongo mkali sana wa mawazo.
Nawaza sana mwakani nitakapomaliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nilibahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakini kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbili nusu nabaki nayo nusu natuma nyumbani.
Wanabodi nahisi maneno haya hayawezi eleza nachotaka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.
Duh!! Aisee siyo vizuri kusema hivyo kama kwenu mko vizuri mna Elimu mshukuru MunguSijui kwanini masikini wanapenda kuzaa watoto wengi...watoto 9!!
Pole,pambana
🤣🤣🤣....halafu huyu mzazi inaonekana bado anazaa....manake kama first born ndo yupo chuo inamaanisha yupo kwenye 20's..Wala hajali..Aliye wazaa alikuwa anawazaa wote 9 bila hofu na bado hana hofu,wewe unapata hofu