Hii yote ni matokeo ya ukondoo wa wananchi wa Tanzania na kutowajibika kuondoa udhalimu kwenye serikali , uongozi mbovu ,ufisadi ,kutowajibika ,rushwa vinasababisha maendeleo duni ,umasikini na ukosefu wa fursa za kiuchumi kwa wananchi .
Umasikini na ukosefu wa fursa za kiuchumi unadumaza akili na kuua ndoto za watu wengi .
Hii nchi wananchi hawakupaswa kuwa wanaishi maisha ya ovyo kama hivyo ,something is horribly wrong with the system in this country .
Yaani mtu uishi kwa kufanya vibarua halafu utegemee utafanikiwa kimaisha ? ,
After all hivyo vibarua vinaongeza nini kwenye uchumi wa nchi kama sio kudumaza na kuua prospects za watu ?
Tatizo ni mfumo na msingi mzima wa jinsi hii imekuwa ikiendeshwa tangia kupata uhuru .
Kibaya zaidi wengine bado wanazaa tu kama panya bila kufanya analysis ya kama wanaweza pata maisha bora na future nzuri hao wanaozaliwa .
Ni combination ya kutowajibika ,ujinga na ubinafsi ,na hili tatizo linaendelea kukua tu .