Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sio rahisi Mbowe kuhongwa ila kuna namna hakujua kupangilia vipaumbele na taswira yake vizuri kwa kadri ya mahitaji ya siasa za kibongo.Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Hii ni hoja ya mtu mwenye akili sana... Kongole kwako.Sio rahisi Mbowe kuhongwa ila kuna namna hakujua kupangilia vipaumbele na taswira yake vizuri kwa kadri ya mahitaji ya siasa za kibongo.
Jistahi basi...Mbowe hawezi kuhongwa na Vyama Vya Upinzani
Lucas mwashambwa njoo hukuKama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Kubwa la maadui...Picha hiyo.
Helikopta hairuki, sababu gani hiyo?
Uko sahihi sana, kulikuwa na uwezo mkubwa ww kujenga ofisi ya 500m-1b, lakini wakaingia kwenye mambo mengine kabisa. Na uwezakano wa Kila wilaya na Mkoa kuwa na ofisi ya 30-50m ulikuwa mkubwa mno.Kwa mfano katika siasa za nchi hii chama kumiliki jengo kubwa la kisasa kama ofisi zao ni jambo kubwa linalotiliwa maanani sana bila kujali utendaji na mchango wa chama husika katika kuleta maendeleo na demokrasia. Mbowe alipaswa kulijua hili muda mrefu sana kuepusha kejeli rejareja za wajinga na majuha wanaoamini chama cha siasa ni muhimu kumiliki jengo/majengo mazuri. Angejenga jengo moja kubwa tu kuliko kununua magari mengi ya M4C au kukodi chopa.
Ushahidi waulize viongozi wenzake!!!Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Duh Mbowe anakulipa pesa kiasi Gani?Chama chako kinapokuwa na mgogoro mkubwa tena wa kikatiba kama huo wa wabunge 19 wa kuteuliwa bungeni haiwezi kuleta picha nzuri kuonekana nao mara mara au kushirikiana nao, Mbowe yeye katanguliza maslahi ya kanisa lake kwanza kuliko taswira yake ya kisiasa.
Hili swali ni lile lile swali ambalo watetezi wa mafisadi ya ccm huwa wanauliza kuwa mwenye ushahidi auweke wazi. Ni swali lile lile ambalo CHADEMA waliuliza kuwa mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aupeleke mahakamani wakati ni wao wenyewe waliozunguka Tanzania kwa miaka 8 mfululizo waksiema ni fisadi, anafaa kupigwa mawe.Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Haya mambo kwa watu walio ndani wanajua. Ni kama kujiuliza kilianza nini kati ya Yai na kuku.Uko sahihi sana, kulikuwa na uwezo mkubwa ww kujenga ofisi ya 500m-1b, lakini wakaingia kwenye mambo mengine kabisa. Na uwezakano wa Kila wilaya na Mkoa kuwa na ofisi ya 30-50m ulikuwa mkubwa mno.
Upo sahihi! Mbowe kachafuka, Sasa amemwagia Ruzuku vijana masikini wa humu ili wamtetee.Unataka ushahidi upi? Anatakiwa atoe matumizi ya ruzuku aweke mchanganua wa hesabu tuone kutuambia tulete ushahidi wakati akaunti ya ruzuku yeye ndiyo anatoa pesa unataka twenda benki kuomba statement ?
Wewe utakuwa mateka wa Mbowe kuna mtu msanii kama Mbowe? Bahati nzuri Mbowe kawashikia akilo wafuasi wake Chadema ni chama cha familia Mbowe na Baba mkwe ruzuku wanakula hamna wa kuhoji ukihoji unafukuzwa refer Zito,Kafulila.Mbowe hawezi kuhongwa na Vyama Vya Upinzani
Kwa kifupi sanaJistahi basi...
Mbowe ni jizi, jambazi, fisadi, tapeli, dikiteta n.kKama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!