Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
 
Sio rahisi Mbowe kuhongwa ila kuna namna hakujua kupangilia vipaumbele na taswira yake vizuri kwa kadri ya mahitaji ya siasa za kibongo.
 
Kwa mfano katika siasa za nchi hii chama kumiliki jengo kubwa la kisasa kama ofisi zao ni jambo kubwa linalotiliwa maanani sana bila kujali utendaji na mchango wa chama husika katika kuleta maendeleo na demokrasia.

Mbowe alipaswa kulijua hili muda mrefu sana kuepusha kejeli rejareja za wajinga na majuha wanaoamini chama cha siasa ni muhimu kumiliki jengo/majengo mazuri.

Angejenga jengo moja kubwa tu kuliko kununua magari mengi ya M4C au kukodi chopa.
 
Chama chako kinapokuwa na mgogoro mkubwa tena wa kikatiba kama huo wa wabunge 19 wa kuteuliwa bungeni haiwezi kuleta picha nzuri kuonekana nao mara mara au kushirikiana nao, Mbowe yeye katanguliza maslahi ya kanisa lake kwanza kuliko taswira yake ya kisiasa.
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Lucas mwashambwa njoo huku
 
Picha hiyo.
fb_img_1684849274867-jpg.2632462

Helikopta hairuki, sababu gani hiyo?
 
Kwa mfano katika siasa za nchi hii chama kumiliki jengo kubwa la kisasa kama ofisi zao ni jambo kubwa linalotiliwa maanani sana bila kujali utendaji na mchango wa chama husika katika kuleta maendeleo na demokrasia. Mbowe alipaswa kulijua hili muda mrefu sana kuepusha kejeli rejareja za wajinga na majuha wanaoamini chama cha siasa ni muhimu kumiliki jengo/majengo mazuri. Angejenga jengo moja kubwa tu kuliko kununua magari mengi ya M4C au kukodi chopa.
Uko sahihi sana, kulikuwa na uwezo mkubwa ww kujenga ofisi ya 500m-1b, lakini wakaingia kwenye mambo mengine kabisa. Na uwezakano wa Kila wilaya na Mkoa kuwa na ofisi ya 30-50m ulikuwa mkubwa mno.
 
Unataka ushahidi upi? Anatakiwa atoe matumizi ya ruzuku aweke mchanganua wa hesabu tuone kutuambia tulete ushahidi wakati akaunti ya ruzuku yeye ndiyo anatoa pesa unataka twenda benki kuomba statement ?
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Ushahidi waulize viongozi wenzake!!!

Kimsingi Mbowe ni mchafu mno
 
Chama chako kinapokuwa na mgogoro mkubwa tena wa kikatiba kama huo wa wabunge 19 wa kuteuliwa bungeni haiwezi kuleta picha nzuri kuonekana nao mara mara au kushirikiana nao, Mbowe yeye katanguliza maslahi ya kanisa lake kwanza kuliko taswira yake ya kisiasa.
Duh Mbowe anakulipa pesa kiasi Gani?
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Hili swali ni lile lile swali ambalo watetezi wa mafisadi ya ccm huwa wanauliza kuwa mwenye ushahidi auweke wazi. Ni swali lile lile ambalo CHADEMA waliuliza kuwa mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aupeleke mahakamani wakati ni wao wenyewe waliozunguka Tanzania kwa miaka 8 mfululizo waksiema ni fisadi, anafaa kupigwa mawe.
Kwa nchi hii ilivyo, ukitaka ushahidi, kila kigogo ni msafi maana hutoupata.
Mind you, mimi si kati ya wanaosema Mbowe anakula ruzuku ila tu ninalinganisha swali lako na swali lililozoeleka
 
Uko sahihi sana, kulikuwa na uwezo mkubwa ww kujenga ofisi ya 500m-1b, lakini wakaingia kwenye mambo mengine kabisa. Na uwezakano wa Kila wilaya na Mkoa kuwa na ofisi ya 30-50m ulikuwa mkubwa mno.
Haya mambo kwa watu walio ndani wanajua. Ni kama kujiuliza kilianza nini kati ya Yai na kuku.

Nani huwa anachangia operesheni mbali mbali za CHADEMA na gharama zake huwa ni kiasi gani. Operesheni nyingi zinaendeshwa kwa mtindo wa kujenga chama hivyo kunakuwa na kundi kubwa sana la watu toka Makao Makuu.

Jee kwa siku moja zinatumika shilingi ngapi. Mtazamo wa chama ilikuwa kujenga watu ambao mwisho wa siku waje wajenge ofisi za chama nchi nzima. Kuna baadhi ya maeneo hili limefanikiwa sana.
 
Unataka ushahidi upi? Anatakiwa atoe matumizi ya ruzuku aweke mchanganua wa hesabu tuone kutuambia tulete ushahidi wakati akaunti ya ruzuku yeye ndiyo anatoa pesa unataka twenda benki kuomba statement ?
Upo sahihi! Mbowe kachafuka, Sasa amemwagia Ruzuku vijana masikini wa humu ili wamtetee.
 
Mbowe hawezi kuhongwa na Vyama Vya Upinzani
Wewe utakuwa mateka wa Mbowe kuna mtu msanii kama Mbowe? Bahati nzuri Mbowe kawashikia akilo wafuasi wake Chadema ni chama cha familia Mbowe na Baba mkwe ruzuku wanakula hamna wa kuhoji ukihoji unafukuzwa refer Zito,Kafulila.
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Mbowe ni jizi, jambazi, fisadi, tapeli, dikiteta n.k
 
Back
Top Bottom