Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kwa hio bei ikiwa chini hizo gunia 20 nitamudu kununua nini ?Unavuna gunia chini ya 20 unajiita mkulima,unauza zote baada ya miezi michache unataka kununua chakula unashindwa
Hao wakulima wa gunia 10,20 ndio wanaowalisha huko mijini.
Gunia 20 mara wakulima milioni 3 unapata gunia ngapi ?
Unavyosikia njombe wanaongoza kuliima parachichi unafikiri wanamiliki heka 5 su mia? , wengi wanamiliki miti inayohesabika ila ikijumlishwa mkoa wote unapata mamilioni ya miti. Huwa mnajidanganya kuwa wakulima wa TZ ni wale wa mamia ya heka! Tanzania inawakulima peasant na ndio hao wanaifanya TZ inang'ara kwenye kilimo.Kalagabhao!