Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

Anapenda siasa ilihali siasa haimpendi , Angalia mtu kama Martin Maranja , moyoni mwake vyoyote yupo anaempenda lakini hajaonesha mbamba mbamba ,huo ndo ukomavu katika siasa
 
Lissu anazo video za mjalaana mtoto wa mlaaniwa abdul akitska kumpa hongo siku akizivujisha itakuwa aibu kwa Mbowe na Samia
 
Samia katoa hela ….Huko ufipani wanevurugana kwa utamu wa noti.!
 
Lissu anazo video za mjalaana mtoto wa mlaaniwa abdul akitska kumpa hongo siku akizivujisha itakuwa aibu kwa Mbowe na Samia
Hzo video zitaachiwa muda wake ukifika utajua kuwa watu wanaenda na calculation za hali ya juu. Lissu sio fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…