missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 341
- 409
Kwanini hakuyasema hayo wakati Lisu akigombea urais?Kaongea ukweli anaoufahamu yeye juu ya sababu ya kumpa lissu kugombea Urais.Sasa unaanzia wapi kumbishia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hakuyasema hayo wakati Lisu akigombea urais?Kaongea ukweli anaoufahamu yeye juu ya sababu ya kumpa lissu kugombea Urais.Sasa unaanzia wapi kumbishia?
Hiyo sahau na haiwezekani kamweNabubujikwa na machozi ya furaha kwamba Lucas atajiunga na chadema Kama Mbowe akishinda uchaguzi
Dhamira ya kuiba mali za ummaCCM pekee ndio yenye dhamira njema na Taifa letu
Kuropoka Hovyo hovyo ni kujidhalilisha tuHata kuropoka ni uwezo
Kwa sababu walitaka aendelee kuropoka kama kichaa au mwendawazimu halafu baadaye wamtelekeze.Kwanini hakuyasema hayo wakati Lisu akigombea urais?
Anapenda siasa ilihali siasa haimpendi , Angalia mtu kama Martin Maranja , moyoni mwake vyoyote yupo anaempenda lakini hajaonesha mbamba mbamba ,huo ndo ukomavu katika siasaNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.
Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.
Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.View attachment 3180416
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo angekaa kimya kama pale manzo, ili aonekane ana hekima, sasa tunamuona nayeye ni mropokaji tu.Kwa sababu walitaka aendelee kuropoka kama kichaa au mwendawazimu halafu baadaye wamtelekeze.
Lissu anazo video za mjalaana mtoto wa mlaaniwa abdul akitska kumpa hongo siku akizivujisha itakuwa aibu kwa Mbowe na SamiaNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.
Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.
Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.View attachment 3180416
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuropoka Hovyo hovyo ni kujidhalilisha tu
Yeye amesema ukweli wa moyoni.Huyo angekaa kimya kama pale manzo, ili aonekane ana hekima, sasa tunamuona nayeye ni mropokaji tu.
Samia katoa hela ….Huko ufipani wanevurugana kwa utamu wa noti.!Nakuchukia sana na mabandiko yako ya kichawa ila kwa usawa huu CCM haina mpinzani. Mfupa uliomtoa jasho Magufuli naona Samia kaumumunya tu ukayeyuka. CDM now iko vipande vipande na haitakaa sawa kwa muda mrefu baada ya uchaguzi wa ndani. Ila ni jambo jema wameonyesha rangi zao halisi now.
Lissu amekatalika kila mahali hakubalikiNaona Lissuphobia inawatesa lices wa Chama tawala.
Matatizo yenu msiwatupie wengine.Samia katoa hela ….Huko ufipani wanevurugana kwa utamu wa noti.!
LGBTQMwenyekiti wangu Taifa ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Matatzo ya hii nchi yote nyie ndo chanzooMatatizo yenu msiwatupie wengine.
Acheni kulalamika lalamika kwa matatizo yenu.Matatzo ya hii nchi yote nyie ndo chanzoo
Hzo video zitaachiwa muda wake ukifika utajua kuwa watu wanaenda na calculation za hali ya juu. Lissu sio falaLissu anazo video za mjalaana mtoto wa mlaaniwa abdul akitska kumpa hongo siku akizivujisha itakuwa aibu kwa Mbowe na Samia