Watawala wakumbuke falsafa ya Baba wa Taifa Maendeleo ni Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi Bora wakati wanapofanya maamuzi yao kuhusu maendeleo.Ushamba wa maendeleo kwa viongozi wengine ni mzigo kwa wananchi.
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee.
"Tunataka hata watoto wa Kiarabu wajae Mwanza hapa jamani, kuchanganya rangi raha. Waarabu safii, DP World oyeee!
"Kazi yetu sisi ni hamasa, na hamasa mnaiona. Asanteni sana kwa kunisikiliza, Mungu Baba wa Mbinguni awabariki. Chama Cha Mapinduzi kipo madarakani, kitaendelea kuwa madarakani mpaka utukufu wa Yesu Kristo utakapokuja mara ya pili. Hapo vipi?"
Wahamasishaji kazini, kazi kwelikweli!
Mkuu hao watu wamepata kiwewe waache waongee utumbo hadi kila mti apandwe hasiraInasikitisha sana kuzaliwa nchi moja na jamii ya watu kama huyu chawa wa ccm
Majibu umetoa kwa maneno mengi bila sababu yeyote.mwenyekiti wa chama tawala hana mamlaka yoyote. wala katiba ya nchi haimtambui,badala yake ni chama husika tu ndiyo kinatambua nafasi yake na majukumu yake...