mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Watawala wakumbuke falsafa ya Baba wa Taifa Maendeleo ni Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi Bora wakati wanapofanya maamuzi yao kuhusu maendeleo.Ushamba wa maendeleo kwa viongozi wengine ni mzigo kwa wananchi.
Kwa mwenendo wa sasa, uongozi uliopo siyo bora maana hauna maono yakuwawezesha watu waitumie ardhi kwa maendeleo yao, badala yake wanaishi na kutenda kitegemezi.