Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Inamaana mpaka Leo hii tv za ndani hazitaki kuonyesha hotuba za upinzani? Je chadema waliomba kulipia airtime wakanyimwa? Na Kama wamenyimwa sababu ni zipi? Na je ikiwa siku chadema ikakamata dola watakosea wakivipiga ban milele hivi vi tiviii uchwara? Mapito wanayopitia chadema ndio yanayowafanya wapendwe mno kuliko dola inavyofikiria.
 
Mh. Mbowe mwanasiasa makini sana !! Tunangoja kwa hamu tusikie anatuambia nini, kikubwa tunatakiwa kusikia ni kuungana kwa pamoja na kuanza mapambano mapya ya kudai TUME HURU YA UCHAGUZI..!!
 
We are eagerly tuned. Lumumba mpoo? Tunaomba TCRA wasitufanyizie kama ilivyotokea baada ya uchafuzi.
 
Anaongea na wanachama wa Chadema kitaifa au anaongea na Taifa? Kipi ni kipi?
Watu wengi sana hawaelewi maana ya Kuhutubia au kuongea na Taifa au β€œto address the nation β€œ.
 
Hivi kumbe Saa 1:00 huwa ni Jioni na siyo Usiku huo tayari?
 
Chadema imepwaya sana hawakuwa na plan B., Kule Zanzibar ACT na maalim seif wameula
Siku zote chadema hawana plan B,angalia ukuta,kata funua na upuuzi mwingine wanaopanga,yote yanafeli
Aliekuwa na Plan B ni Lissu,kukimbia kwenda kula michango ya kampeni kwa chama iliopitia mikononi mwake
 
a.k.a jiwe,mhutu,shetani,msema kweli mpenzi wa mungu,laghai, mla rambi rambi! Jitu katili na roho mbaya!
Du Nkese πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ... Naona unahasira nu Munumpala'"
 
Asiongee kwa makelele sana ,

Taratiibu tu tutamuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…