Vipi angalau ana digrii ya chuo, au bado elimu ni ile ile! Siyo kila mtu atuhutubie bhana!Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Mchumia unyayoWewe unachumia nini?
Hoja zinazotokana na kutawaliwa na njaa.Chadema imepwaya sana hawakuwa na plan B., Kule Zanzibar ACT na maalim seif wameula
Hakamfikia yule aliyejiita mdude. Kaadimika kweli siku hizi!Du Nkese πππ ... Naona unahasira nu Munumpala'"
mungu wa Burigia.k.a jiwe,mhutu,shetani,msema kweli mpenzi wa mungu,laghai, mla rambi rambi! Jitu katili na roho mbaya!
Rejelea marekebisho ya katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hapo 2010 katika kugawana madaraka raia walikubali anaefuatia kwa kura nyingi atakua makamu wa rais vyama vya siasa vinalijua hilo.Chadema imepwaya sana hawakuwa na plan B., Kule Zanzibar ACT na maalim seif wameula
Anayo ya Hull University.Vipi angalau ana digrii ya chuo, au bado elimu ni ile ile! Siyo kila mtu atuhutubie bhana!
Ule haukua UchaguziBonny aligaragazwa vibaya sana na Prof Kitila Mkumbo wa CCM!
Wapuuzi hao..hiyo kauli ya kusema wanautubia taifa wafute mara moja...Taifa ni moja chini ya Amiri Jeshi Mkuu JPMChadema ina taifa gani? Anaeongea na taifa ni JPM. Sema ahutubie chadema yake.
Hivi we ni member Cdm?Itakuwa ni saa 1 kweli boss? Maana ilisemekana ni leo saa 6 mchana. Naona cdm wana lile tatizo la waafrika la kutokujali muda, na kubadili badili ratiba mara kwa mara. Tunategemea hotuba yenye nguvu za hoja kama ilivyo kawaida ya cdm.
uko nje ya hojaChadema ipi ndugu yangu, hii hii inayokataa matokeo kila chaguzi afu bungeni wanaingia kama kawaida??Hii hii iliyosema imeenda sijui ICJ mpaka leo mbombo ngafu??
swali duni sanaHivi we ni member Cdm?
πππA.k.a mshindi kwenye mabegi meusi
Mpuuzi mwenyewe na hao wanaokulipa buku saba, kama hutaki kusikia ziba masikio.Wapuuzi hao..hiyo kauli ya kusema wanautubia taifa wafute mara moja...Taifa ni moja chini ya Amiri Jeshi Mkuu JPM
wapi bwana wewe, sasa wewe unayesema ACT wameungana na mashetani ndo upo ndani ya hoja??Hujui kama ni takwa na haki yao kikatiba kuunda serikali ya pamoja?? Nyie mbona miaka yote mnakataaga matokeo lakini bado bungeni wabunge wenu wanaenda, hapo sio kurasimisha ushetani??uko nje ya hoja
Ubaguzi tu ,anawezaje kuzuia vyombo vya habari ,hata vile ambavyo vinatumia Kodi zetu visitangaze habari za wapinzani? Uwoga tu.Yupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Chadema kuna shida.Tena shida kubwa!!Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!