Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni. Stay tuned!
Watazima Internet na lile dude lao
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!
Tunasubiri 😊
 
Kamanda atatujuza kama mipaka ya Zimbabwe iko wazi.
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!
Chadema imepwaya sana hawakuwa na plan B., Kule Zanzibar ACT na maalim seif wameula
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni...
Naamini ni kuhusu Hatma ya wale kina mama kumi na tisa.
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.

Stay tuned!
Ni jambo jema!
 
Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni...
Anaongea na wanachama wa Chadema kitaifa au anaongea na Taifa? Kipi ni kipi?
 
Back
Top Bottom