Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watazima Internet na lile dude laoMwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni. Stay tuned!
Kuna wengine wamuita jizi la kuraYupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari Johm Pombe Joseph Magufuli.
Mbona kaenda kujificha kijijini anachungulia kwa chati?Yupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari Johm Pombe Joseph Magufuli.
Daktari feki kwa kufoji phd! Rais feki kwa kuiba kura!!Yupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari Johm Pombe Joseph Magufuli.
Alaa..kumbe!Yupo mmoja tu anayeweza zungumza na Watanzania wote moja kwa moja na anaenda kwa jina la Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Tunasubiri 😊Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Wewe unachumia nini?CCM na CHADEMA wote wachumia tumbo
Chadema imepwaya sana hawakuwa na plan B., Kule Zanzibar ACT na maalim seif wameulaMwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Naamini ni kuhusu Hatma ya wale kina mama kumi na tisa.Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni...
Ni jambo jema!Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni.
Stay tuned!
Anaongea na wanachama wa Chadema kitaifa au anaongea na Taifa? Kipi ni kipi?Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe. @freemanmbowetz leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni...