Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Katibu Mkuu ndiye mtendaji mkuu wa chama na mwakilishi mkuu wa Mwenyekiti. Sauti yake ndiyo sauti ya mwenyekiti na chama kwa ujumla. Tumemuelewa vema Mnyika. Aluta continua!Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
Huenda ishu hii ya Chadema kuna Mambo ya Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe!Chadema mkimaliza hili sakata lenu mjifunze pia msichanganye mapenzi na kazi.
Whatever, kuna masuala ambayo uwakilishi hauna nafasi.........Katibu Mkuu ndiye mtendaji mkuu wa chama na mwakilishi mkuu wa Mwenyekiti. Sauti yake ndiyo sauti ya mwenyekiti na chama kwa ujumla. Tumemuelewa vema Mnyika. Aluta continua!
Kama uongozi ungekuwa hauhusiki basi Mnyika angeutangazia umma kuwa hawatapokea ruzuku inayotokana na uchaguzi huo.Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
Wewe ni mgeni wa kitu kinaitwa authority! Powe is invariably personal!Umeambiwa kamati kuu inakaa kesho una haraka gani wewe?
BORA UJIONDOE HUNA FAIDA YOYOTEHalima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.
Umenena sahihi, shida ya wafuasi wa chadema hawajaelewa kuwa Tanzania tuna mfumo wetu wa aina yake wa vyama vingi.Tuliingia mfumo wa vyama vingi kivyetu vyetu.Sasa leo ukitaka tuige mfumo wa kimagharibi au wa nchi zingine unaingia chaka.Kifupi ni kwamba Halima & Co wako salama wameapa, na chadema mwezi huu inapokea ration ya ruzuku yake kama sheria inavyotaka na ruzuku hiyo itatumika ndani ya chama kwa matumizi ya kiofisi na maisha yataendelea.Mwisho wa mwaka CAG atakagua na kutoa khati.Wafusi mnaangalia kipengere cha kuapishwa kina Halima&co.Hahhaha!!!!!!! MnachekeshaHalima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.
Mwache tu ajitoe kwan ana manufaa gan hum ndani?Usiikimbie I'd yako tu
Kuna tatizo gani vichwani mwa wanachadema kujua kinachotokea ndani ya chama? Mambo ya mtandaoni ni tofauti kabisa na anavyoamua mwenye saccos Yake.Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
unakwenda astrayKama uongozi ungekuwa hauhusiki basi Mnyika angeutangazia umma kuwa hawatapokea ruzuku inayotokana na uchaguzi huo.
Mbona na mama yako ni mwanachadema mwenzetu and therefore naye ni Nyumbu hovyoNyumbu hovyo kabisa.
Hivi kwa nini watu mnakua wagumu kuuelewa mchezo simple tu kama huu?Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.
Akili ni nywele kila mtu ana zake!Halima Mdee na wenzake wakifukuzwa CHADEMA najiondoa Jamii Forums. Tatizo la wafuasi wa CDM ni kuweka Imani sana kwenye chama na kuhisi kinapigania maslahi ya wananchi. Watu wapo kimaslahi yao zaidi. Mnapelekwapelekwa tu, hiyo kamati kuu itakaa kuwazuga tu Ila mwisho wa huu mchezo unajulikana kwa mwenye akili. Mdee asingeweza kuongea vile bila baraka za mwenyekiti. Kwa u sensitive wa ishu Mbowe angekuwa hausiki angechukua flight mara moja na Jana angekuwa na Mnyika, mmemuona au kumsikia!?.. Wabunge waliohudhuria bungeni wenzao wakikimbia Corona walifukuzwa mara moja bila kusikilizwa, Ila waliofoji nyaraka wakaasi na kuapishwa bungeni ndo wamepewa masaa 48 waje kusikilizwa... Bado hamuelewi mchezo!??... Ndo maana mkaitwa NYUMBU. Hamtumii ubongo kufikiri.