- Thread starter
- #101
Sasa ni zamu yenu koropekeana ninyi kwa ninyi. Dhambi ukishaitenda na ukawa mnafiki hutaki kukiri itakutafuna. Hii dhambi ya kutaka kuwagaea Watanzania kwa kujenga chuki kupitia uongo itawatafuna mpaka iwamalize.
Kipindi cha kampeni Chadema kupitia Tundu wameliharibu mno taifa na sasa chama kinatafunwa na dhambi hiyo hiyo.
TUNDU hafai kuwa kiongozi wa Chama ngazi ya juu sembuse uongozi wa Taifa. Tundu ni mwanaharakati na wanaharakati wengi wanaongozwa na mihemko na hisia. Hawana dira kama viongozi. Slaa alikuwa kiongozi na ndiyo maana aliweza kuiunda Chadema kuwa Taasisi imara kama chama.
Mnaombea mfarakano eeh?
Ngoja tuwa delete hao wadada na kipandikizi chenu kwanza ndipo mtatambua kuwa kumbe tuko imara kuliko wakati wowote!