Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Katibu Mkuu ndiye mtendaji mkuu wa chama na mwakilishi mkuu wa Mwenyekiti. Sauti yake ndiyo sauti ya mwenyekiti na chama kwa ujumla. Tumemuelewa vema Mnyika. Aluta continua!Ninajua Katibu Mkuu wa CHADEMA, John John Mnyika amelitolea ufafanuzi, lakini ili kurudisha confidence ya wana CHADEMA, ni vema ukitoa neno hata moja ili roho za wafasi na watanzania wa CHADEMA zipone.
Kuna mkanganyiko ambao unahitaji top Executive kuusemea. Najua 27/11/2020 kuna kikao cha Kamati Kuu kujadili suala hilo, lakini "Siasa" ziko hivyo, unatoka unalisemea.
Hili ni muhimu.