Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

ni k

ni kwa vile matukano ni dhambi. Ningekutukana.

JESUS IS LORD&SAVIOR
kama kuwaza uzinifu na uzinzi ni dhambi, sembuse kuwaza kutukana? huu si ndio unafiki wenyewe sasa ndrugu zango?

Mungu akuhurumie gentleman πŸ’
 
NONSENSE.
 
kama kuwaza uzinifu na uzinzi ni dhambi, sembuse kuwaza kutukana? huu si ndio unafiki wenyewe sasa ndrugu zango?

Mungu akuhurumie gentleman πŸ’
wewe ni mmoja ya vijana wa hovyo walioko duniani. jua hilo kama ulikuwa hujijui
 
Tlaatlaah ana mimba ya wiki 7.zinasumbuaga hujui nini unataka
My lady,
ni muhimu sana kuepuka kuwabeza au kuwanyanyapaa wajawazito waliomo humu jukwaani ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani .

Tuwaombee ustahimilivu na subra wote wenye hali uliyoitaja, na kwa Neema na Baraka za Mungu hatimae wote wajifungue salama,

Tujikite kwenye hoja na itapendeza zaidi πŸ’
 
Msalimie Mmachame wako πŸ˜‚
tunaelekea Singida gentleman, na na kwenye hotuba iliyojaa unafiki wa kiwango cha juu sana ya mwenyekiti mpya, mwenyekiti wa zamani atasifiwa sana kinafiki kwa kazi nzuri iliyotukuka aloifanya kwenye uongozi wake πŸ’
 

Wewe mnafiki utahangaika sana na huo ushetano wako, huku Mbowe na Lisu wakiwa hawana uhasama wowote.

Wanatofautiana katika mtazamo lakini hawajawahi kuwa maadui hata simu moja.

Ninyi wenye roho ya shetani mtahangaika sana kutaka Mbowe na Lisu wawe maadui lakini hamtafanikiwa kamwe.

Hongera Mbowe, hongera Lisu kwa kudumisha umoja wenu. Yaacheni mashetani yahangaike na kusubiria mafarakano ambayo hayatakuwepo.
Haya mashetani ndiyo yalikuwa yanajitahidi kuutweza utu na ubinadamu wa Lisu na Mbowe ili kuleta mafarakano wakati wa uchaguzi. Baada ya kushindwa lengo lao, yamebakia kubwabwaja na hoja za kijinga kama hii ya kutembeleana.

Mbowe na Lisu endeleeni kuyatesa haya mashetani kwa kuendelea na mahusiano yenu kama ilivyo ada,mpaka haya mashetani yapotee kwa kihoro.
 
mwenyekiti mpya wa chadema si alisema hadharini kwamba haendi tena kumanga msosi nyumbani kwa chairman wa zamani kwasabb sio salama tena baada ya kutwezana utu na kusingizia mambo mazito na ya aibu mno gentleman?

au unajifanya umesahau?
na huo si ndio unafiki wenyewe sasa gentleman πŸ’
 
Unafiki mnakuwa nao ninyi waabudu majini na mizimu.
relax gentleman,
soon picha za kinafiki zaidi ya ile ya ziara ya kulazimisha kwenda kwa mzee warioba zitatokwa hadharini πŸ’
 
Wenye majeraha mioyoni ni wale waliojiaminisha kuwa uenyekiti ni nafasi binafsi ya mbowe.

Hawaamini mpaka leo kwamba mbowe kashindwa kihalali. Wapo humu kina Retired wanadai kilichofanywa na Lissu ni mapinduzi, utawasaidia vipi wajinga kama hawa?

Ni wachache sana, hawawezi kuwa na madhara yoyote kwa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…