Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

Kitendo cha CCM kuishauri CHADEMA kinaleta question marks nyingi sana. Kwanini ghafla mmeanza kumpenda Mbowe ambae miaka yote mlikuwa mnasema anang'ang'ania madaraka?.

Lissu kumtembelea Mbowe kuna shida gani?
 
Tlaatlaah tena 🀣🀣 ndugu mbuge unazidi kujibainisha jinsi upeo wako ulivyo mkubwa, natamani kulijua jimbo lako au ni mbuge wa viti maalumu mkuu?
 
Kitendo cha CCM kuishauri CHADEMA kinaleta question marks nyingi sana. Kwanini ghafla mmeanza kumpenda Mbowe ambae miaka yote mlikuwa mnasema anang'ang'ania madaraka?.

Lissu kumtembelea Mbowe kuna shida gani?
vijana wa Tarime mmeshauriwa kujiepusha kutumika na chadema kuleta fujo,

miongoni mwa vijana mpaka sasa wana ulemavu wa kudumu na wengine hatunao duniani na chadema haitambui hilo,

Je,
huo ni ushauri mbaya mathalani?πŸ’
 
Inaonekana hujui michezo ya Siasa,unaweza kukuta yale yote pale yalikuwa maigizo,wenzako wakikutana kwenye vijiwe vyao wanagonga vyombo pamoja...
 
Inaonekana hujui michezo ya Siasa,unaweza kukuta yale yote pale yalikuwa maigizo,wenzako wakikutana kwenye vijiwe vyao wanagonga vyombo pamoja...
kwahivyo kumbe siasa za chadema ni maigizo gentleman?

na ule unafiki je wa smile?πŸ’
 
Duh,hizo ni siasa za kitakataka sana na za UCHAWA MAANDAZI kabisa,
Yaani hadi kutembeleana unataka kuwapangia?
Halafuuuu why CCM followers are so obsessed with CHADEMA?
What's scaring them(CCM)?
Why can't they(CCM) let them(CHADEMA) go away???
 
Huwezi kuwa Rafiki na huyu mwenyekit mpya., huwezi
ndio maana nasema kuna unafiki wa kiwango cha juu sana miongoni mwa viongozi wa chadema hususan mwenyekiti taifa,

kuna uhasama na uadui mbaya mno chadema baina ya kambi zilizochuana uchaguzi ulio malizika majuzi,

shukran kwa kuliweka sawa jambo hili πŸ’
 
Duh.. Nikikumbuka zile post zako kabla ya uchaguzi nacheka sana.. Maana zimekuumbua pakubwa sana.
 
Duh,hizo ni siasa za kitakataka sana na za UCHAWA MAANDAZI kabisa,
Yaani hadi kutembeleana unataka kuwapangia?
Halafuuuu why CCM followers are so obsessed with CHADEMA?
What's scaring them(CCM)?
Why can't they(CCM) let them(CHADEMA) go away???
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aliandika mapost marefu marefu sana ya unafiki uzushi na uongo wa kila aina kumhusu TAL halafu zote zikaangukia pua
 
Duh,hizo ni siasa za kitakataka sana na za UCHAWA MAANDAZI kabisa,
Yaani hadi kutembeleana unataka kuwapangia?
Halafuuuu why CCM followers are so obsessed with CHADEMA?
What's scaring them(CCM)?
Why can't they(CCM) let them(CHADEMA) go away???
chairman mpya alikua ana manga msosi kwa family ya chairman wa zamani,

kwa unafiki wa kiwango cha juu sana ghafla akadae eti haitaki tena kwenda kumanga pilau huko kwasabb za kiusalama,

leo ati anajiandaa kwenda kumtembelea kule kule ambako aliona sio salama, huo sio unafiki mkubwa wa kiwango cha juu sana gentleman?πŸ’
 
Kwa wanaume kusigana na kuendeleza maisha ni kawaida. Nyie wanawake ndo huwa mnaweka kisasi,wivu na chuki. Hapo unatamani umwambie Mbowe asikubali. Elewa haya mambo kwa wanaume sisi ni kawaida nyie wengine hapo utakuwa UMEVUTA MIDOMO..😁 Mwanaume HAVUTI MDOMO. wanawake WANAVUTA MIDOMO.
 
Lissu alifiri uenyekiti ni kupiga Porojo za Mdomoni tu. Sasa ameanza kupoteana na kuchanganyikiwa
haelewi hata pakuanzia, analazimisha kwenda kuwatembelea wazee wastaafu walio mapumzikoni eti wamuonyeshe njia,,
 
Ule upuuzi wenu wote mlioandika umeangua pua sasa mmebaki na mipasho ya kindezi loh🀣
Bado anaumia. Huwa nawaza mke wa Mbowe angekuwa humu JF angeomba talaka kwa mumewe maana kuna watu wanampenda Mbowe na kumwonea wivu kuliko yeye wa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…