Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo cha CCM kuishauri CHADEMA kinaleta question marks nyingi sana. Kwanini ghafla mmeanza kumpenda Mbowe ambae miaka yote mlikuwa mnasema anang'ang'ania madaraka?.Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.
Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.
Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..
Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
UWT hamnaga akiliunakua mnafiki sawa sawa na chairman mpya wa chadema bana dah 🐒
vijana wa Tarime mmeshauriwa kujiepusha kutumika na chadema kuleta fujo,Kitendo cha CCM kuishauri CHADEMA kinaleta question marks nyingi sana. Kwanini ghafla mmeanza kumpenda Mbowe ambae miaka yote mlikuwa mnasema anang'ang'ania madaraka?.
Lissu kumtembelea Mbowe kuna shida gani?
Inaonekana hujui michezo ya Siasa,unaweza kukuta yale yote pale yalikuwa maigizo,wenzako wakikutana kwenye vijiwe vyao wanagonga vyombo pamoja...Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.
Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.
Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..
Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwahivyo kumbe siasa za chadema ni maigizo gentleman?Inaonekana hujui michezo ya Siasa,unaweza kukuta yale yote pale yalikuwa maigizo,wenzako wakikutana kwenye vijiwe vyao wanagonga vyombo pamoja...
ndio maana nasema kuna unafiki wa kiwango cha juu sana miongoni mwa viongozi wa chadema hususan mwenyekiti taifa,Huwezi kuwa Rafiki na huyu mwenyekit mpya., huwezi
Duh.. Nikikumbuka zile post zako kabla ya uchaguzi nacheka sana.. Maana zimekuumbua pakubwa sana.Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.
Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.
Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..
Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
😂😂😂 aliandika mapost marefu marefu sana ya unafiki uzushi na uongo wa kila aina kumhusu TAL halafu zote zikaangukia puaDuh,hizo ni siasa za kitakataka sana na za UCHAWA MAANDAZI kabisa,
Yaani hadi kutembeleana unataka kuwapangia?
Halafuuuu why CCM followers are so obsessed with CHADEMA?
What's scaring them(CCM)?
Why can't they(CCM) let them(CHADEMA) go away???
chairman mpya alikua ana manga msosi kwa family ya chairman wa zamani,Duh,hizo ni siasa za kitakataka sana na za UCHAWA MAANDAZI kabisa,
Yaani hadi kutembeleana unataka kuwapangia?
Halafuuuu why CCM followers are so obsessed with CHADEMA?
What's scaring them(CCM)?
Why can't they(CCM) let them(CHADEMA) go away???
Ule upuuzi wenu wote mlioandika umeangua pua sasa mmebaki na mipasho ya kindezi loh🤣Lissu alifiri uenyekiti ni kupiga Porojo za Mdomoni tu. Sasa ameanza kupoteana na kuchanganyikiwa
Kwa wanaume kusigana na kuendeleza maisha ni kawaida. Nyie wanawake ndo huwa mnaweka kisasi,wivu na chuki. Hapo unatamani umwambie Mbowe asikubali. Elewa haya mambo kwa wanaume sisi ni kawaida nyie wengine hapo utakuwa UMEVUTA MIDOMO..😁 Mwanaume HAVUTI MDOMO. wanawake WANAVUTA MIDOMO.Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na kuzidisha migawanyiko na mpasuko zaid baada ya uchaguzi.
Dhihaka zinazotolewa na wasaidizi wa mwenyekiti mpya dhidi ya wa zamani, mathalani kwa kutokuwepo sherehe ya makabidhiaona ya ofisi, ni wazi zina baraka za mwenyekiti huyo mpya wa CHADEMA Taifa.
Wasaidizi hao wamefikia hatua hadi ya kusingizia kwamba mwenyekiti wa zamani kaondoka na kung'ang'ana na baadhi ya asset mbalimbali za chadema, kitu ambacho si kweli, lakini wanaona haitoshi, wanapanga kwenda kumdhihaki mpaka nyumbani kwake na familia yake.
Hii sio dalili nzuri hata kidogo, bali ni dalili ya kushindwa uongozi mapema hata kabla hali ya uhasama, vita vya maneno na uadui miongoni mwa zilizokua kambi za uchaguzi wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa hazijatulia na kufanya maridhiano..
Ni kwa kiasi gani unaridhishwa na uongozi mpya wa upande moja wa chadema mpka sasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Subiri muda siyo mrefu mtaanza kububujikwa na machozi ya majuto kwa kumchagua huyo MropokajiUle upuuzi wenu wote mlioandika umeangua pua sasa mmebaki na mipasho ya kindezi loh🤣
Bado anaumia. Huwa nawaza mke wa Mbowe angekuwa humu JF angeomba talaka kwa mumewe maana kuna watu wanampenda Mbowe na kumwonea wivu kuliko yeye wa ndoa.Ule upuuzi wenu wote mlioandika umeangua pua sasa mmebaki na mipasho ya kindezi loh🤣