Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa anapanga kwenda kumtembelea mwenyekiti wa zamani

vijana wa Tarime mmeshauriwa kujiepusha kutumika na chadema kuleta fujo,

miongoni mwa vijana mpaka sasa wana ulemavu wa kudumu na wengine hatunao duniani na chadema haitambui hilo,

Je,
huo ni ushauri mbaya mathalani?πŸ’
Fujo zinatokana na nini?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aliandika mapost marefu marefu sana ya unafiki uzushi na uongo wa kila aina kumhusu TAL halafu zote zikaangukia pua
Halafu kwenye kureply linaandika takataka zilezile kwa kuzirudiarudia tena,inaonyesha jinsi gani alivyofirisika kwa hoja
 
Ohh kumbe wanaume suruali ndivyo mlivyo,

wanaume kamili tukiona unafiki tunasema tu bila mbambamba yoyote gentleman,

kama ambavyo chairman mpya wa chadema Taifa atakavyotoa hotuba ya kinafiki sana kumsifia chairman wa zamani, alie mtweza utu wake hadharani, yeye na familia yake, licha mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa kumanga msosi kwake daily tangu adondoke TzπŸ’
 
Kwa wanaume kusigana na kuendeleza maisha ni kawaida. Nyie wanawake ndo huwa mnaweka kisasi,wivu na chuki. Hapo unatamani umwambie Mbowe asikubali. Elewa haya mambo kwa wanaume sisi ni kawaida nyie wengine hapo utakuwa UMEVUTA MIDOMO..😁 Mwanaume HAVUTI MDOMO. wanawake WANAVUTA MIDOMO. So SIKUSHANGAI NDO MLIVYO NYIE.
 
haelewi hata pakuanzia, analazimisha kwenda kuwatembelea wazee wastaafu walio mapumzikoni eti wamuonyeshe njia,,
Amebaki anazurula zurula tu bila kuelewa hata afanye nini. Nilishasema kuwa lissu hawezi kuongoza zaidi ya kuongozwa . Familia tu Imemshinda kuiongoza. Ni vipi sasa ataweza kuiongoza CHADEMA???????
 
Sawa bimdogo wa mbawa kwa kutuhabarisha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aliandika mapost marefu marefu sana ya unafiki uzushi na uongo wa kila aina kumhusu TAL halafu zote zikaangukia pua
acha upotoshaji gentleman,
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani inayohusu unafiki wa kiwango cha juu sana cha chairman mpya wa Chadema dhidi ya wa zamani,

mnapeana moyo na ndugu yako kimyonge mno nje ya hoja mahususi mezani ,

na hizo ni dalili za unafiki πŸ’
 
Amebaki anazurula zurula tu bila kuelewa hata afanye nini. Nilishasema kuwa lissu hawezi kuongoza zaidi ya kuongozwa . Familia tu Imemshinda kuiongoza. Ni vipi sasa ataweza kuiongoza CHADEMA???????
Toa hiyo avatar uweke ya jinsia yako
 
SIASA SIO UADUI GENTLEMEN !
Lissu anaonekana amekomaa kiuongozi πŸ™
Hata akipewa Uongozi wa Nchi haina shida kabisa Gentleman πŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ‘
 
Shukrani kwa ili jibu mkuu, limenipunguzia muda ambao ningepoteza na wewe hapa.
Shukrani kwa ili jibu mkuu, limenipunguzia muda ambao ningepoteza na wewe hapa.
nadhani muda mchache nilijotolea kuandika hoja mahususi mezani ambayo inabadilishwa title kwa umahiri mkubwa sana ili kua na maana zaidi,

hata hivyo,
ninao mda mchache pia kujadiliana na wadau humu jukwaani, but usijali next time pia sio mbaya tajadiliana.

jambo la muhimu sana ni kwa hawa jamaa wa chadema kuacha unafiki πŸ’
 
SIASA SIO UADUI GENTLEMEN !
Lissu anaonekana amekomaa kiuongozi πŸ™
Hata akipewa Uongozi wa Nchi haina shida kabisa Gentleman πŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ‘
hiyo ni nzuri sana gentleman,

but ni muhimu sana akajiepusha na kujitenga na unafiki hususani kwa watangulizi wake ,

umekomaa kiuongozi halafu unakua mnafiki kisiasa ni kitu mbaya sana πŸ’πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…