TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Pole sana K-lyn hasa katika kipindi hiki kigumu

Yatapita
 
umemsikia kutoka kisiwani.. hahaha brother huwa wanifurahisha sana, wasalimu wa kisiwani
 
Wabongo buana... leo asubuhi kazini jamaa anapokea taarifa za kifo cha mzee Mengi reaction ya kwanza ni "dah sasa K-lyn itakuje? atakayempata atamfaidi kweli maake alikuwa amebanwa" yaan taarifa ni ya msiba kuna wadau wanafikiria namna ya kumpasua mama twins... eeh M/Mungu utusaidie 🙄🙄
 
Dunia ni mapito. Lakini majina yetu yanaishi milele. Hatuna budi kutenda mema tukijitahidi kuifanya dunia iwe sehemu salama na safi kwa Maisha yetu sote. Especially kwa wale tuliojaliwa chochote na kwa namna yoyote. Daima hakuna binadamu mkamilifu. Yeye safari yake imeishia hapo. Sisi tuko nyuma yake.

Kikubwa lets celebrate his life! Kwa siku almost 27500 mwenyezi Mungu alizompa kuishi hapa duniani, he did a lot to support our social economic progress as peoples of Tanzania.

Mauti ni ukumbusho tuu kwamba kiburi, majivuno, majigambo nk vyote ni ubatili mtupu! Mwisho wa siku Mzee Mengi atakumbukwa kwa yale aliyoyafanya kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kwetu sote.

Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa Amani mTanzania mwenzetu Reginald Abraham Mengi.

Mwisho nawapa pole wafiwa wote na wote walioguswa kwa huu msiba.

Amina
 
Jamani Napelepe au Napedimbe hatajoa neno lolote....???
 
Wabongo buana... leo asubuhi kazini jamaa anapokea taarifa za kifo cha mzee Mengi reaction ya kwanza ni "dah sasa K-lyn itakuje? atakayempata atamfaidi kweli maake alikuwa amebanwa" yaan taarifa ni ya msiba kuna wadau wanafikiria namna ya kumpasua mama twins... eeh M/Mungu utusaidie!
 
Hivi nini kimemfanya akang'ata shuka mapema gafla hivyo
 
tena ngoja niongezee tajiri anaokoka mwishoni sana. ila Mungu aonaye sirini ndo hupokea matendo yake. "anawajua waliowake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…