TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Pole sana K-lyn hasa katika kipindi hiki kigumu

Yatapita
 
Siku zingine jifunzeni Kuwaheshimu Watu wanaochukua muda wao na Kuleta taarifa za maana hapa Jamvini. Muda si mrefu Mtangazaji Deo Rweyunga ambaye anaendelea Kusoma Taarifa ya Habari sasa ametangaza na kuthibitisha hilo. Upesi sana muombe radhi Mleta hii taarifa kabla hujaiamsha ' Mizimu ' yangu kwani umeniudhi mno kuliko Kiwango cha Kuudhiwa.
umemsikia kutoka kisiwani.. hahaha brother huwa wanifurahisha sana, wasalimu wa kisiwani
 
Wabongo buana... leo asubuhi kazini jamaa anapokea taarifa za kifo cha mzee Mengi reaction ya kwanza ni "dah sasa K-lyn itakuje? atakayempata atamfaidi kweli maake alikuwa amebanwa" yaan taarifa ni ya msiba kuna wadau wanafikiria namna ya kumpasua mama twins... eeh M/Mungu utusaidie 🙄🙄
 
Dunia ni mapito. Lakini majina yetu yanaishi milele. Hatuna budi kutenda mema tukijitahidi kuifanya dunia iwe sehemu salama na safi kwa Maisha yetu sote. Especially kwa wale tuliojaliwa chochote na kwa namna yoyote. Daima hakuna binadamu mkamilifu. Yeye safari yake imeishia hapo. Sisi tuko nyuma yake.

Kikubwa lets celebrate his life! Kwa siku almost 27500 mwenyezi Mungu alizompa kuishi hapa duniani, he did a lot to support our social economic progress as peoples of Tanzania.

Mauti ni ukumbusho tuu kwamba kiburi, majivuno, majigambo nk vyote ni ubatili mtupu! Mwisho wa siku Mzee Mengi atakumbukwa kwa yale aliyoyafanya kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kwetu sote.

Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa Amani mTanzania mwenzetu Reginald Abraham Mengi.

Mwisho nawapa pole wafiwa wote na wote walioguswa kwa huu msiba.

Amina
 
Wabongo buana... leo asubuhi kazini jamaa anapokea taarifa za kifo cha mzee Mengi reaction ya kwanza ni "dah sasa K-lyn itakuje? atakayempata atamfaidi kweli maake alikuwa amebanwa" yaan taarifa ni ya msiba kuna wadau wanafikiria namna ya kumpasua mama twins... eeh M/Mungu utusaidie!
 
Hivi nini kimemfanya akang'ata shuka mapema gafla hivyo
 
According to Imani yako,which is not necessarily true. To me yesu was just a man who lived in Judea circa 2000 years ago. He nothing more than a troublesome preacher, who was caught by the authorities and was sumnaryily executed.

A brainwashed religious apologetic
tena ngoja niongezee tajiri anaokoka mwishoni sana. ila Mungu aonaye sirini ndo hupokea matendo yake. "anawajua waliowake"
 
Back
Top Bottom