TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Kwa mujibu wa taarifa ya habari asubuhi hii kutoka Redio One,Dr.Mengi amefia Dubai usiku wa kuamkia leo.Mungu aiweke peponi Roho yake Amen.
 
Taarifa inatakiwa ije ikiwa na uthibitisho, pia swala la msiba kuna ndugu wengine huwa wanapresha na familia huwa inajua jins gan ya kumfikishia taarifa mlengwa, sasa akiisoma humu fasta anaweza kufa
kuna maelfu ya watu hapa, kwa hiyo watu 10 wa familia moja hawawezi zuia maelfu kupata taarifa kisa wana presha....
 
Radio One na ITV wametangaza kwa kifupi sana, hawajataja yote hayo uliyoulizia

Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko Dubai..basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu itakusanywaa tuu usijalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…