TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi,
Poleni sana wote walioguswa na hili tukio.
Mengi tutamkumbuka kwa Mengi.
 
Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi,
Poleni sana wote walioguswa na hili tukio.
Mengi tutamkumbuka kwa Mengi.
usimp[angie Mungu, anajua pa kuweka mavuno yake, pole kwako na wengine pia
 
Daah, kweli kila nafsi itaonja umauti. Ingekuw Mungu anapokea rushwa, kwa mali na utajir wa mzee Mengi, basi asingetutoka.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe
 
R.I.P R.MENGI... Sisi ni mavumbi na kwake tutarudi.
 
RIP Mzee Mengi, kazi uliyoiacha duniani inaonekana na itakumbukwa vizazi vingi vijavyo
 
Another Loss in a media industry... Rest in Eternal Peace Dr Reginald Abraham Mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…