Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

Ehe itakuwaje sasa
IMG_20200810_150615.jpg
 
Naamini
Kwa dhati ya moyo wangu naamini hawatafanya hili kosa la kulibetisha taifa. Kubeti amani ya nchi ni uhaini.

Ikiwa ipo sababu ya msingi haina budi kufanya hivyo, ila ikiwa na matakwa ya watu wenye nia ovu basi chochote kitakachotokea kitakuwa juu ya vichwa vyao na familia zao.

Kuna taasisi moja inapaswa kufanya kazi kwa umakini mkubwa kwa maslahi mapana ya nchi kama jina lake linavyosadifu
 
Haya ngoja tuonyeshane makali kwenye sanduku la kura msijekuwa mnasema hivi kumbe mnakesha kutafuta mbinu ya kutafuta ushindi wa mezani kwa kumuengua Lissu kimizengwe.
Lisu atashangazwa kama Lowassa.

Kuna tofauti kubwa kati ya Rais na mgombea urais bwashee.

Uchaguzi upo 2025!
 
Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Msisitizo wake ni sahihi, kwamba wenye sifa stahiki ndio watakaoteuliwa. Miongoni mwa sifa hizo zitaonekana kwenye fomu hizo wagombea watakapozirudisha, kwa mfano kuwa na wadhamini kwa idadi iliyotajwa na sheria
 
Lisu atashangazwa kama Lowassa.

Kuna tofauti kubwa kati ya Rais na mgombea urais bwashee.

Uchaguzi upo 2025!
Cha msingi CCM msifosi ushindi wa mezani kwa kumuengua Lissu kimizengwe.
Kamshangazeni Lissu kwenye sanduku la kura sio kwenye meza ya tume.
 
Hata chizi akija kusoma umu tayar Atajua tu kua Kuna mtu Hana sifa na atakatwa tu mana nyumbu anao waongoza wameanza kupiga kelele hahahaha kama mnajijua mko fit vip mue na hofu
 
Mapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Litakuwa kosa kubwa Sana madhila waliyoyapitia watanzania kwa miaka mitano msiwashinikize waasi makusudi wote tutaingia shimoni tusifike huku nawaombea kwa Mungu awape busara.
Watanzania au Wana chadema yani ako kakikund kenu ndio mtishe Tanzania nzima wakat Mbwa tu wa Ffu Wana wakalisha kimia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama ni uchochezi kumwita Magufuli Dictator mbona tuko wengi tunaosema hivyo ??
 
Hata chizi akija kusoma umu tayar Atajua tu kua Kuna mtu Hana sifa na atakatwa tu mana nyumbu anao waongoza wameanza kupiga kelele hahahaha kama mnajijua mko fit vip mue na hofu
Hata mimi nashangaa, huu ni usaili wa kazi lazima ukidhi matakwa.

Uombe kujiunga na chuo au Uombe visa ya nchi fulani unapewa form na ada unalipa na unaambiwa hujaqualify je utalalamika kwa nini walinipa form kama siqualify?
 
Kwanini wampe form mgombea aliyekosa sifa? au sifa anakosa akishachukua hiyo form tu.
 
Back
Top Bottom