Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form anapewa mtu yeyote anayekwenda kuziomba; ina maswali ambayo mgombea akishayajibu ndipo tume itachambua kuona kama anazo sifa.Ni matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Haya ngoja tuonyeshane makali kwenye sanduku la kura msijekuwa mnasema hivi kumbe mnakesha kutafuta mbinu ya kutafuta ushindi wa mezani kwa kumuengua Lissu kimizengwe.Lisu hatasumbuliwa bali atashangazwa kwenye sanduku la kura October!
Naamini
Kwa dhati ya moyo wangu naamini hawatafanya hili kosa la kulibetisha taifa. Kubeti amani ya nchi ni uhaini.
Lisu atashangazwa kama Lowassa.Haya ngoja tuonyeshane makali kwenye sanduku la kura msijekuwa mnasema hivi kumbe mnakesha kutafuta mbinu ya kutafuta ushindi wa mezani kwa kumuengua Lissu kimizengwe.
Msisitizo wake ni sahihi, kwamba wenye sifa stahiki ndio watakaoteuliwa. Miongoni mwa sifa hizo zitaonekana kwenye fomu hizo wagombea watakapozirudisha, kwa mfano kuwa na wadhamini kwa idadi iliyotajwa na sheriaNi matumaini yangu kila mgombea ambae amechukua form ana sifa kama hana sifa why wampa form
Cha msingi CCM msifosi ushindi wa mezani kwa kumuengua Lissu kimizengwe.Lisu atashangazwa kama Lowassa.
Kuna tofauti kubwa kati ya Rais na mgombea urais bwashee.
Uchaguzi upo 2025!
Yeremia Kulwa Maganja vp??hakuna kikwazo kwa wote wawili...
Mbona nawe umeshuka daraja namna hii ?! Unashabikia upuuzi huo ?!Ni utaratibu wa kawaida kabisa!
Ni utaratibu wa kawaida kabisa!
Wewe unabatiza kwa mafuta au maji? Wajina wako anabatiza kwa motoLisu atashangazwa kama Lowassa.
Kuna tofauti kubwa kati ya Rais na mgombea urais bwashee.
Uchaguzi upo 2025!
Kwa mfano mtu kakosa wadhamini unataka Kaijage afanyaje?!Mbona nawe umeshuka daraja namna hii ?! Unashabikia upuuzi huo ?!
Watanzania au Wana chadema yani ako kakikund kenu ndio mtishe Tanzania nzima wakat Mbwa tu wa Ffu Wana wakalisha kimia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Litakuwa kosa kubwa Sana madhila waliyoyapitia watanzania kwa miaka mitano msiwashinikize waasi makusudi wote tutaingia shimoni tusifike huku nawaombea kwa Mungu awape busara.
Mapungufu ya kwanza kwa Tundulisu ni yeye kuwa na kesi ya uchochez Kwa kanuni za Tanzania na sheria zake Tundulisu hapaswi kua kiongozi na Atakatwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mimi nashangaa, huu ni usaili wa kazi lazima ukidhi matakwa.Hata chizi akija kusoma umu tayar Atajua tu kua Kuna mtu Hana sifa na atakatwa tu mana nyumbu anao waongoza wameanza kupiga kelele hahahaha kama mnajijua mko fit vip mue na hofu