Mwenyekiti Umoja wa Afrika (AU) ampongeza Rais Samia kwa ushindi, akumbushia HAKI ZA BINADAMU

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433


Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
 
Ahsanteni Sana AU Wazalendo wa kiafrika!
 
Africa ukiondoa nchi zinazoheshimu democracy kama South Africa, Botswana, Seychelles, Ghana , nyingine zote ni utumbo tuu na umaskini wa kutupa na chanzo ni kutoheshimu haki za raia wake ,kazi tunayo
 
Hawa washenzi walioshindwa kumsuluhisha Kagame na Congo hadi wakaenda khsuluhishwa Qatar ndo wakupongeza?

Kweli majuha wanapongezwa na majuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…