Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

icho chama kina vijana wajinga sana.
 
Namsubiria msemaji wetu wa polisi atatoa kauli gani.

Raia tu ameshiba zake mihogo huko anakuja kulitishia jeshi la polisi kutokutekeleza majukumu yake.

Polisi wakikaa kimya katika hili watakuwa watu wa hovyo sana.
 
Nani alikuwa anawatusi wewe ropo ropo? Matusi ni utamaduni wa Wapinzani sio CCM
 
Kama wanapoteza uhai wa mtu, hivi kura zetu itakuwa kazi kweli kuzipotezea upande wao?!
 
Naomba Nichangie mada!
Kwanza kabsa maoni ambayo nitaeleza hapa ni yangu binafsi:
1. Vijana na Siasa

Hakuna kosa kubwa ambalo tunalifanya kama kuzungumzia siasa kwa mahaba, tukitumia mapenzi yetu kuzungumzia chochote ambacho kinaendelea serikalini kwa kutumia mahaba lazma utaonekana chawa na zugazuga. Ukiingia kwenye siasa kwa sababu ya njaa ni hatari kuliko kuingia kwenye shimo la nungunungu ukitanguliza kichwa! kijana wetu anatumia nguvu kubwa sana kuonesha alivyo na mahaba kulinda wakuu wake ili tu apate kupewa ukuu wa wilaya au wadhifa sehemu yoyote serikalini. Huyu hawezi kuzungumzia kwanini Bwawa la Nyerere limeanza kuingiza tope! Hawezi kuzungumzia kwanini Umeme umekuwa changamoto ndani ya taifa. Faris Buruhan ni Nuksi tupu.

2. Kutokuwajibika kwa Mamlaka za Ulinzi na Usalama.
Ibara ya 14 ya Katiba ya tanzania ya 1977 inasema:
"Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria" halafu anatokea mtu mmojaaliyeshimba makande huko anatoa kauli ya kirasimu namna hiyo na maafisa usalama wapo hapo wanacheka na kupiga makofi?! CCM Oyee! Mama anaupiga mwingi! Mungu tusamehe sana Kauli ya CCM huwa ni mithili ya Sheria na kauli ya CHADEMA huwa ni uchochezi!

3. Uwajibikaji wa Mamlaka za Juu.

Sidhani kama huyu akipewa nafasi jukwaa kuu lenye viongozi wakubwa wa kitaifa, Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na viongozi wakuu wengine kama anaweza kuzungumza kauli za kijinga namna hii. "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi mtandaoni, Polisi msiwatafute" Je leo Mwalimu John Pambalu akitoa kauli kama hii, atabaki salama kweli, Je akisema "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi mtandaoni, Polisi msiwatafute" Mzee wangu Wilbrod Mutafungwa utabakia ofisini kwako kama mwenzako Augustino Olomi.
NB: Hii nchi ni yetu sote! Hakuna ambaye ni mungu wala shetani! hakuna adui wala nyota! tuheshimu fikra na mawazo ya watanzania wenzetu.
 
Mimi siwezi kumlaumu!
Ndiyo vijana wa UVCCM ya CCM ya sasa walivyo! Ndivyo wanavyofundishwa! Sifa ya kwanza kwa sasa ya kujiunga na CCM ni uwezo wa kutukana vyama vya Upinzani.
 
Polisi watakuwa kimya hapa!! jamani mbona linchi limekuwa pori la wanyama??
 
Huyu nitamfungia siku 5 apotee yeye kabla ya kupotea wengine
 
Hajakosea, bali anaufahamisha umma kuwa ukisikia mtu kapotea ujue wamempoteza wao.
Pia kaenda mbali kuwajulisha kuwa wao hawaujui utawala wa sheria hivyo, Polisi wasihangaike kujua nani kapotea.
Mdomdogo nchi inatumbukia.
 
Mbona hii ni jinai kubwa ya wazi kabisa hii!

Katoa wapi ujasiri wa kuropoka maneno hayo?

Alikula maharage ya wapi?

Viongozi mnayaunga mkono maneno hayo ya huyo punguani?

Mbona sijasikia 'feed back' zenu?
 
Leo asubuhi nilikuwa namsikiliza huyu mbuzi pori akimtetea kunguni mwenzake kwamba yalikuwa maneno ya utani wa kisiasa
 
Leo asubuhi nilikuwa namsikiliza huyu mbuzi pori akimtetea kunguni mwenzake kwamba yalikuwa maneno ya utani wa kisiasa View attachment 2968436
Hivi huyu nyanya CHUNGU hiii sura yake wachina walikuja kukopi sura yake wakatengeneze mabasi ya mwendo kasi, maana sura lake Pana kama mabasi ya mwendo kasi aende mahakamani akawadai wachina fidia wamekopi sura yake wakati yeye hapati faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…