fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Prakatatumba abaabaabaaPalakatumpaaa palakataaa abagaa hahaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prakatatumba abaabaabaaPalakatumpaaa palakataaa abagaa hahaaaaa
icho chama kina vijana wajinga sana.Wao wanawapangia polisi nini cha kufanya? Hawajui mipaka yao? Kumlinda rais si kazi yao, kuna vyombo vya usalama nchini.
Kumlinda kisiasa wanaweza pambana kwa hoja lakin si kufikia mahali ku commit sucha act otherwise na wao wakianza kupotezwa wasililie mahali. Tunatengeneza bomu mbeleni
Huyu Yuko Ngara. Ni mrundi.Huyu Mwenyekiti wa UVCCM Kagera unaweza kuta ni mtu mzima ana 45+ na anatokea nchi ya jirani(Rwanda) maana watanzania hatuna roho mbaya hivyo
CCM inazoa taka zoteHuyu Yuko Ngara. Ni mrundi.
Nani alikuwa anawatusi wewe ropo ropo? Matusi ni utamaduni wa Wapinzani sio CCM
Kama wanapoteza uhai wa mtu, hivi kura zetu itakuwa kazi kweli kuzipotezea upande wao?!Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.
Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.
Pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
- Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
Huo ndio ufala sasa! Makonda kesha sema watukanaji na waajiri wa watukanaji wapo Baraza la mawaziri, sasa ndani ya baraza kuna wapinzani?Nani alikuwa anawatusi wewe ropo ropo? Matusi ni utamaduni wa Wapinzani sio CCM
Polisi watakuwa kimya hapa!! jamani mbona linchi limekuwa pori la wanyama??Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.
Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.
Pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
- Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
Huyu nitamfungia siku 5 apotee yeye kabla ya kupotea wengineUmoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.
Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.
Pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
- Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
Hajakosea, bali anaufahamisha umma kuwa ukisikia mtu kapotea ujue wamempoteza wao.UVCCM mjitafakari. Hizi siasa za kupotezana sio maono ya mwenyekiti Mama Samia. Mama hana siasa za kipumbavu kama hizi.
TUKIWAPOTEZA WANAOMTUKANA RAIS SAMIA POLISI MSIWATAFUTE
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.
Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.
@sirallawi
#WasafiDigital
Mbona hii ni jinai kubwa ya wazi kabisa hii!Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.
Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.
Pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
- Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
Leo asubuhi nilikuwa namsikiliza huyu mbuzi pori akimtetea kunguni mwenzake kwamba yalikuwa maneno ya utani wa kisiasaUmoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.
Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.
Pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
- Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali
Hivi huyu nyanya CHUNGU hiii sura yake wachina walikuja kukopi sura yake wakatengeneze mabasi ya mwendo kasi, maana sura lake Pana kama mabasi ya mwendo kasi aende mahakamani akawadai wachina fidia wamekopi sura yake wakati yeye hapati faidaLeo asubuhi nilikuwa namsikiliza huyu mbuzi pori akimtetea kunguni mwenzake kwamba yalikuwa maneno ya utani wa kisiasa View attachment 2968436
Huyu ni kunguni kama kunguni wengine mkuuLeo asubuhi nilikuwa namsikiliza huyu mbuzi pori akimtetea kunguni mwenzake kwamba yalikuwa maneno ya utani wa kisiasa View attachment 2968436