Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Kwan kulkua na ulazma gan dogo mpumbafu kama huyu kuongea??
 
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Uzima unakusumbua ndugu yangu haya unayazungumza kwa kuwa waathirika siyo ndugu zako lakini kumbuka kila nafsi itaonja mauti kwa wakati wake hivyo ni suala la kujiandaa wote kila mmoja na wakati wake
 
Kuna watu wanaona fahari sana kushika hivi vyeo vya kidunia! Ebu wawaangalie wenzao waliotangulia mbele za haki tena wengine walikuwa na vyeo vikubwa kuliko walivyonavyo wao lakini leo hii wapo wapi na je hicho walichokuwa wakikiangaikia hapa duniani wameenda nacho huko ahera? Mtu na akili zako timamu unajitoa fahamu kwa sababu ya kujipendekeza ili upate cheo!
Inasikitisha sana mkuu tena cha kushangaza ikiwa mwenyekiti wake wa chama ametoa pole ingawa hatujui kama ni ya uhalisia au ni ya kuanua ngoma juani sembuse hiki kijamaa sijui kina roho gani na kilizaliwa na nani 🤔🤔🤔🤔
 
Ibilisi mmoja hana mpango wowote kwanza inasemekana ni chakula ya watu.
 
Hapa ndipo ccm inapojipotezea umaarufu kwa wananchi na kuifanya ichukiwe zaidi. Hivi huyu Kawaida atasimama tena jukwaani asikilizwe na wananchi?

Huyu Kawaida kaboronga, yafaa ajiuzulu ama atoke hadharani awaombe radhi watanzania.
 
Kaithibitishia jamii anachokiamini, (his true colors)
 
Hu
Hapa ndipo ccm inapojipotezea umaarufu kwa wananchi na kuifanya ichukiwe zaidi. Hivi huyu Kawaida atasimama tena jukwaani asikilizwe na wananchi?

Huyu Kawaida kaboronga, yafaa ajiuzulu ama atoke hadharani awaombe radhi watanzania.
Huenda anawajua wauaji na alishiriki kwa namna moja ama nyingine
 
Hapa ndipo ccm inapojipotezea umaarufu kwa wananchi na kuifanya ichukiwe zaidi. Hivi huyu Kawaida atasimama tena jukwaani asikilizwe na wananchi?

Huyu Kawaida kaboronga, yafaa ajiuzulu ama atoke hadharani awaombe radhi watanzania.
Akiomba radhi bila dhamira yake toka moyoni ni hamna kitu
 
Hapa ndipo ccm inapojipotezea umaarufu kwa wananchi na kuifanya ichukiwe zaidi. Hivi huyu Kawaida atasimama tena jukwaani asikilizwe na wananchi?

Huyu Kawaida kaboronga, yafaa ajiuzulu ama atoke hadharani awaombe radhi watanzania.
Hata tulia hakuwahi omba radhi

View: https://www.instagram.com/reel/C_ud0epqQ8c/?igsh=MXI1Nzk1M2MweGk3Yw==

Hata huyu mwenyekiti uvccm kagera hakuwahiomba radhi
Six5b0TZWlBbGx71.jpg
 
Jiwe yupo motoni anateseka kwa matukio kama haya haya
Wacha Mungu aingilie kati tena
Wewe uko kwenye moto upi hapo? Nalikunyoosha kweli kweli na anaendelea kukunyoosha mpaka sasa hivi
 
Ibilisi mmoja hana mpango wowote kwanza inasemekana ni chakula ya watu.
wakati anaandika alikuwa hajakunwa ndiomaana msameheni sio kosa lake kosa makuzi na malezi, ukiwa unapumuliwa kwa nyuma ni vigumu kuwa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom