Zanzibar 2020 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif atoa msimamo juu ya wagombea ACT-Wazalendo kuenguliwa

Hatutaki yatokee yaliyotokea Gambia, ajiandae rasmi kukukubali maamuzi yetu kama anavyoyategemea, huu ujanja ujanja anaotaka kufanya ili uchaguzi usifanyike hautamfanya aendelee kuwa rais.

uchaguzi ni lazima ufanyike ili aondoke.
Nami ndivyo nionavyo. Yawezekana wanafanya figisu kwa makisudi ili uchaguzi uahirishwe au Wapinzani wazire ili yatokee kama ilivyokuwa kwenye Serikali za Mitaa. Jambo ambalo safari hii halitawezekana. Wameshaamua liwalo na liwe lkn hakuna kuweka mpira kwapani.
 
Huyu mgombea , angejitoa tu kugombea Ili Chama kiteue mtu mwingine wa kupeperusha bendera huko zanziba, sjui Mimi namuonaje!

Namuona ni kama kiafya hayuko Sawa Sawa, sijui uzee labda, Yesu Kristo nihurumie
Na Mungu Mwenyezi mpe nguvu mtumishi wako na mgombea uraisi wetu
 
Mikwara mbuzi imeshazoeleka.
 
Naam hiki ndicho ambacho "tume ya uchafuzi" imekuwa ikikitafuta muda wote...
Katika wimbo wetu wa Taifa kuna hizi beti "Mungu ibariki Tanzania... Hekima, Umoja na Amani..." zinaelekea kupoteza maana kwa maana "wenye uchu na madaraka ndio wanawaita wenye uchu na madaraka wenzao!!"
Kinachoendelea ni zaidi ya ulafi wa madaraka
 
Damu ikimwagika ndio Magufuli atafurahi. Kuna watu ni wabinafsi sana.

Hivi kwanini uwanyime wananchi haki ya kuchagua?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
ikulu alienda kufanya nini waliazimia nini mbn akusema siasa imejaa mazogo mikasa ya kutovelewana abasa ya ongo wachache kufaidishana dalasa ubongo
 
Huyu MTU kila uchaguzi munamfanyia figisu na kusema sawa anatuliza wanachama wake sada kashachoka liwalo na liwe bora wabaki wa chache lkn heshima iwepo
Sasa mtu mwenyewe yuko wapi kama sio tu kutaka kuwatengenezea watu EDA
 
Kwani maalim ana kifaa cha hosp. kwny moyo mkuu?
 
Basi waengueni kama nyinyi wanaume, naona mmetoa list cjamuona mbunge wa pemba alienguliwa. Sisi sio watanganyika mkuu wachezeeni kina Mbowe. Siku Maalim akitoa kauli haturudi nyuma hata iweje.
Mtatulizwa tu mkuu. Hizo motomoto zenu zinazimwa pasipo hofu.
 
Tanzania tupo vizuri mkuu. Wala usihofu.
Hata mwendawazimu aliyeko jalalani huona wapita njia wote ndio wehu!
Tupo vizuri ikiwa haki, upendo na amani yetu havitachezewa.
Hakuna mahali duniani mtutu na mabavu viliwahi kuleta amani. Egypt na Palestina ni mifano tosha ama kote alikovuruga USA na mabavu yake wapi pametulia?
 
Haki ipo Tanzania, ukiamua kuishi bila kuheshimu wengine ni lazima uone kama vile haki haupo.

Wenyewe huwa wanaapa kuyalinda mapinduzi matukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…