Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

MBONA LISSU,ROMA HAWATAK KURUD IKIWA ADUI YAO HAYUPO......WANAOGOPA NN......
 
hamjui vitu vingi sana kuhusu nchi hii
Duu kwahiyo issue ya Katiba imekua kama uhaini vile? Nilipoona Kikwete akiiijaribu nikadhani ni kitu chepesi. Kama unavyosema mengi hayajulikani ladba kwenu tu.
 
Mwinyi Jr anaogopa kunyang'anywa tonge kwenye uchaguzi ujao..
 
Nimesoma mahali eti anapelekwa Dar kwa boti toka Zanzibar!
 
Unaweza kuta hawa CHADEMA huyu mzee kajiteka mwenywe ila wapate huruma ya wananchi.
Mbinu kama za mwenyekiti wao alijipiga gwara mwenyewe na Konyagi akasingizia kapigwa na vibaka wa CCM
Huu ujinga baki nao huko ghetto kwa le mutuz mnaposhinda mkivuta Bangi na kudhani watanzania ni wajinga kama nyinyi
 
Walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Idd Amin dada Albashiri Sadam Hussein Gadafi na wenzao wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Unaweza kuta hawa CHADEMA huyu mzee kajiteka mwenywe ila wapate huruma ya wananchi.
Mbinu kama za mwenyekiti wao alijipiga gwara mwenyewe na Konyagi akasingizia kapigwa na vibaka wa CCM
Duu nimechekaa ila Vanni kichwa kikubwa akili kijiko cha chai.
 
MBONA LISSU,ROMA HAWATAK KURUD IKIWA ADUI YAO HAYUPO......WANAOGOPA NN......
Remember, Samia Hassan inherited the same brutal instruments 🔫 🔫 that the late dictator John Pombe Joseph Magufuli used to torment his critics and she is using them effectively against her detractors.
 
Hamna cha System wala nini bali ni kikundi cha wachumia tumbo ambao wapo tayari kufanya lolote ili wakidhi njaa zao tu.
 
Hamna cha System wala nini bali ni kikundi cha wachumia tumbo ambao wapo tayari kufanya lolote ili wakidhi njaa zao tu.
WEE JAMAA UNA FIKIRIA ....HAWA NI WAGANGA NJAA ...ETI SYSTEM?...system ya kutengeneza project za kula pesa ya serikali/wananchi na vi sinema za kupambana na chadema jogging na mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…