Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #161
Mungu apishe mbaliHaya ndio Mambo yaliyomkuta Moses Lijenje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu apishe mbaliHaya ndio Mambo yaliyomkuta Moses Lijenje
Tuendelee kumuombea tunatawaliwa na kundi la mashetaniMungu apishe mbali
UTAJE AU ULETE HUO WIMBOAcha uongo wewe. Roma alitekwa na bashite baada ya kutoa wimbo wenye maudhui ya kumponda JPM.
MBONA LISSU,ROMA HAWATAK KURUD IKIWA ADUI YAO HAYUPO......WANAOGOPA NN......Hakuna cha system, nchi zaidi ya 35 za kiafrika kati ya 54 zimewahi kupinduliwa na jeshi sasa kwenye hizo nchi hamna hiyo system unayoiongelea.
Huyo Abdallah Hanga aliuwawa kwa amri ya Karume na hilo linafahamika vema. Hakuna kitu kinachoitwa system la sivyo mabadiliko ya utawala yasingekuwa yakifanyika.
Huu utawala wa ccm ni swala la muda tu hauatukuwepo, pale shinikizo ya kuwataka wafanye sweeping political reforms itakapoongezeka kwa siku zijazo kwani serikali haiwezi ku-survive bila kupata uungwaji mkono kutoka kwa mataifa tajiri.
Duu kwahiyo issue ya Katiba imekua kama uhaini vile? Nilipoona Kikwete akiiijaribu nikadhani ni kitu chepesi. Kama unavyosema mengi hayajulikani ladba kwenu tu.hamjui vitu vingi sana kuhusu nchi hii
Nitajie madaktari walio muuguza jpm siku za mwisho ? Kwani ujui kuna siri kubwa hapo hao madocta ni kama wamefichwa hiviunahoji vipi kifo ambacho madaktari wametaja sababu zake ?
Nimesoma mahali eti anapelekwa Dar kwa boti toka Zanzibar!View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi.
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia.
Yeap huwa inaanzaga kidogo kidogo hiviTunaelekea kuwa kama Watakebani soon.
Huu ujinga baki nao huko ghetto kwa le mutuz mnaposhinda mkivuta Bangi na kudhani watanzania ni wajinga kama nyinyiUnaweza kuta hawa CHADEMA huyu mzee kajiteka mwenywe ila wapate huruma ya wananchi.
Mbinu kama za mwenyekiti wao alijipiga gwara mwenyewe na Konyagi akasingizia kapigwa na vibaka wa CCM
Walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Idd Amin dada Albashiri Sadam Hussein Gadafi na wenzao wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwishoHUIJUI HISTORIA YA HII NCHI
wana hoja,system iliwahi kumuondoa makamu wa raisi...
Alipotea makamu wa RAIS Abdallah Hanga huko Zanzibar Hadi leo hajapatikana
Muulize lissu,Roma mbona adui yao JPM hayupo, lkn wanaogopa kurudi...wanaogopa nn....hadi roma katelekeza familia...au JPM yupo
Duu nimechekaa ila Vanni kichwa kikubwa akili kijiko cha chai.Unaweza kuta hawa CHADEMA huyu mzee kajiteka mwenywe ila wapate huruma ya wananchi.
Mbinu kama za mwenyekiti wao alijipiga gwara mwenyewe na Konyagi akasingizia kapigwa na vibaka wa CCM
Hata usemeje haisaidii.Nguruwe jike wee!
Remember, Samia Hassan inherited the same brutal instruments 🔫 🔫 that the late dictator John Pombe Joseph Magufuli used to torment his critics and she is using them effectively against her detractors.MBONA LISSU,ROMA HAWATAK KURUD IKIWA ADUI YAO HAYUPO......WANAOGOPA NN......
Hamna cha System wala nini bali ni kikundi cha wachumia tumbo ambao wapo tayari kufanya lolote ili wakidhi njaa zao tu.Hata Lissu akiwa rais watu watatekwa kama kawa, KUNA SYSTEM nyuma ya rais,Ndio maana tunaoijua hii nchi, tunajua Mbowe sio Gaidi ila SYSTEM imefanyabyake, angekuwepo JPM angetupiwa kila lawama...
SAMIA awali hakuijua Vzr SYSTEM..... akataka aendeshe nchi yeye kama yeye, ndipo SYSTEM ikamuambia kina mbowe watamzid kete...
Now Mbowe yupo korokoroni.....
Mara zote wakiwakamata watu unguja wanaleta Tanganyika , Mbweni
WEE JAMAA UNA FIKIRIA ....HAWA NI WAGANGA NJAA ...ETI SYSTEM?...system ya kutengeneza project za kula pesa ya serikali/wananchi na vi sinema za kupambana na chadema jogging na mboweHamna cha System wala nini bali ni kikundi cha wachumia tumbo ambao wapo tayari kufanya lolote ili wakidhi njaa zao tu.
anafahamu fika kapata nafasi kwa njia ya hila na dhulma kutoka kwa dhalimu magukatiliMwinyi Jr anaogopa kunyang'anywa tonge kwenye uchaguzi ujao..