Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Unguja, kule kwa Mwinyi, au ipo Unguja nyingine?

Erythro, mbona habari yako ni kama ngumu kuiamini!

Ingekuwa hapa Mikocheni, pasingekuwepo na maswali mengi juu ya habati yako; lakini Unguja, kwa Mwinyi? Huyo mzee atakuwa kafanya jambo gani la ajabu kiasi cha kumfanya Dr Mwinyi atake kuharibu sifa na heshima yake!

Au unataka kueleza kwamba yeye hana lolote la kufanya, anafuata amri tu, atake asitake?
Sidhani kuwa atakubali kudhalilishwa kiasi hicho.
Kingai yuko kote kote
 
lin waliondoka ....hata kwa nyerere,mwinyi, JK,mkapa walikuwepo, wapo, wataendelea kuwepo...

unamkumbuka DR.ULIMBOKA?
Unaweza ukatuambia kwenye tawala hizo za nyuma ukiondoa ya Kikwete ni akina nani waliotekwa.

Huu utekaji unaofanywa sasa hivi na Tiss wapo na wanaangalia tu kama watazamaji inaonyesha wazi kwamba ni wenyewe ndio wanaopanga hizi mission.
 
Na ili uelewe hili jambo livae kama wewe ni mwanae wa kwanza
Mmekaa seating room unakuta watu wameongia wamemchukua mzee wanasepa nae
Hujui wanaenda wapi
Kufanya nini
Na kwanini


kunasiku watu watashindwa kuvumilia
 
View attachment 1961683

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Mpigie sele 0715132277 au 0787132277 atakuambia alipo kwani alijua yote kabla ya kwenda kumteka
 
Kama ni kweli ni ujinga kila siku watatokea watu kama hawa na kusema ya moyoni bila woga shika shika haijawahi kusaidia hata kupunguza maneno. Lissu alipigwa risasi lakini watu hawakunyamaza sembuse hizi shikashika
Huyo mzee wakiendelea kumtesa wajue mfululizo wa Albadiri utawandama kama nyuki kwani ngao ya wanyonge ni Albadiri
 
Back
Top Bottom