Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Hilo gari limeandika " Usipige Picha"?View attachment 1446830
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Hapana tuanzia hapa,kwani ukiwa DG wa TISS hauruhusiwi kwenda kwenu mpaka iwe ajenda kwenye mitandao na uonekane umekimbia corona kiasi cha gari kupigwa picha na kurushwa mitandaoni?Mpaka hiyo gari inapigwa picha at 'a very close range' walinzi wa DG wa TISS walikua wapi?? Au dereva wa DG wa TISS ambaye naye ni mtu wa kitengo alikuwa wapi??? Tuanzie hapa
Hana hamu na Mbeya huyo .Kwani ndiye aliyepiga picha?
Huyo bavicha atashughulikiwa na mwenye wilaya yake DC Thom Apson!
DG ana nini? Hawa si ndio wanaomshauri jiwe utumbo?Tatizo siyo gari ila vijana wa Bavicha hawaaminiki wanaweza kutumiwa na mabeberu.
Unafanya siasa kwa DG wa TISS?.........huyo bavicha kaingia cha kike!
Tatizo sio kupiga gari picha..lengo hapa ni njia ya kumpata huyu Kigogo.
Hapa nadhani ndio pana point ya msingi hata mimi nimeshangazwa na hvyo vijumba namna vilivyo duni.Nadhani tatizo siyo picha , tatizo ni mazingira duni yanayozunguka maeneo gari hiyo imepaki
SahihiChadema ingekuwa corona ungekuta imeshaisha siku nyingi. Serekali inatumia nguvu kubwa Sana kwa chadema kulipo kitu chochote
Kapige picha na gari la rais si kachagulowa na wananchi?? Waafrika sijui kwann hatuba utamaduni wa kuheshimu viongozi ...Kwani hiyo gari ina siri gani mpaka polisi wanahaha namna hiyo?
Kwanini apige picha gari ya TISS? Huyu ni jasusi anayetumiwa na mabeberu...inawezekana ni agent wa foreign intelligence...simwonei huruma kabisa kwa yatakayompata....Watanzania baadhi yetu siyo tu ni wajinga Bali ni wapumbavu pia...hivi mtu akipiga picha gari ya CIA, MOSAD, FSB au MI 5 atafanywa Nini??!!View attachment 1446830
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
kwani mnaficha nini ?Kwanini apige picha gari ya TISS? Huyu ni jasuso anayetumiwa na mabeberu...inawezekana ni agent wa foreign intelligence...simwonei huruma kabisa kwa yatakayompata....Watanzania baadhi yetu siyo tu ni wajinga Bali ni wapumbavu pia...hivi mtu akipiga picha gari ya CIA, MOSAD, FSB au MI 5 atafanywa Nini??!!
Ok sawa...msiishie kupiga picha magari tu...pigeni picha na majengo yao na hata maafisa wenyewe..muone Cha mtema kuni...Kuna watu wajinga na wapumbavu Sana...nchi hii watu wamedekezwa Sana...freedom iliyopo imewafanya baadhi ya watanzania kuvimbiwa amani....kwani mnaficha nini ?
Sijakuelewa hapa,Kapige picha na gari la rais si kachagulowa na wananchi?? Waafrika sijui kwann hatuba utamaduni wa kuheshimu viongozi ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iko wapi kwani , nani asiyemjua diwani Athumani ?Ok sawa...msiishie kupiga picha magari tu...pigeni picha na majengo yao na hata maafisa wenyewe..muone Cha mtema kuni...Kuna watu wajinga na wapumbavu Sana...nchi hii watu wamedekezwa Sana...freedom iliyopo imewafanya baadhi ya watanzania kuvimbiwa amani....
Hakuna Kesi hapo Wanamsumbua tu na kupoteza Mda wao, Wakamkamate Kigogo2014Tatizo siyo gari ila vijana wa Bavicha hawaaminiki wanaweza kutumiwa na mabeberu.
Unafanya siasa kwa DG wa TISS?.........huyo bavicha kaingia cha kike!
Jamaa hajakimbilia kijijini alienda msibani kumzika ndugu yakeWatu nyeti wana kimbilia vijijini vp usalama wao ..waki dunguliwa uko kodi zetu zitumike kuwaomboleza wao na kushusha bendera ya nchi yetu nusu mligoti
sijui itakuaje