Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Hilo gari limeandika " Usipige Picha"?View attachment 1446830
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Hu utawala unaishi kwa hofu sana, sana, bora hata kunguru kuliko huu utawala wa Jiwe na Gwajima