Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

hizi harakati mavi zinawaponza sana.

na asitegemee kuna kesi yoyote itakayofunguliwa dhidi yake,atakaa sero mpaka akili za kiutu uzima zimrudie.
Mwache akae safe house...asipewe gazeti Wala tv au redio...chakula apitishiwe kwenye kidirisha ...asione sura ya mtu miaka 20 halafu aachiwe..stupid man
 
Shida iko wapi kwani , nani asiyemjua diwani Athumani ?
Interesting comment...unadhani director wa CIA, MOSAD na kadhalika hajulikani? Piga picha ya wale walioko field au kwenye ofisi nyeti yakiwemo makao makuu uone kitakachokupata..
 
Hapana tuanzia hapa,kwani ukiwa DG wa TISS hauruhusiwi kwenda kwenu mpaka iwe ajenda kwenye mitandao na uonekane umekimbia corona kiasi cha gari kupigwa picha na kurushwa mitandaoni?
Hamna unachoelewa...Kaa pembeni...DG wa TISS ni mtu mkubwa sana. Tena sana. Huna unachofahamu. Hii mada inakuzidi ufahamu. Naomba niishie hapo
 
View attachment 1446830

Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .

Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Kwani ninyi wapenda damu na vurugu mna mpango gani na mheshimiwa Diwani?
Msijekuta mlipanga kumuandalia ajali.
Watumishi wa mabeberu hamuaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna unachoelewa...Kaa pembeni...DG wa TISS ni mtu mkubwa sana. Tena sana. Huna unachofahamu. Hii mada inakuzidi ufahamu. Naomba niishie hapo
kwani ukiwa mkubwa sana huruhusiwi kwenda kwenu? swali ni hilo au uwezo wako wa kuelewa ndo shida.?
 
sasa swala sio kwenda kwao,umewaambia watu ameenda kwao kufanya nini??

picha unapiga,kisha maelezo unatunga utumbo wako unaujaza hapo.huwezi achwa.
 
kweli kabisa tatizo watu wengine kila kitu kwao ni siasa tu halafu akishughulikiwa utasikia kelele anaonewa.
 
View attachment 1446830

Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .

Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Huyu jamaa mshamba sana sasa anapiga picha gari ili iweje au hilo gari ni la kipekee sana,nawewe mleta habari ushaifanya hii ni habari kisa jamaa ni mwenyekita wa BAVICHA.
 
Hebu jikite kwenye uzi basi , sasa unachangia uzi au unanishambulia mimi ? we mnyakyusa si bora ukavune mpunga tu !
 
kwa mujibu wa tweets zilizosindikiza picha hiyo ni kwamba huyo boss wa usalama kakimbia jiji sababu ya corona kaenda kufanyia kazi huko kwao mwanga kilimanjaro
Si ni sawa tu. Kila mtu an haki ya kuhakikisha usalama wake ,wanza kabla ya mambo mengine kama KAZI
 
Back
Top Bottom