Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua kwamba kufanya hivyo ni kosa kisheria.

Imewalazimu wananchi hao kuandamana wakidai kuwa kama amemuona huyo mke wa mtu ni mwali, basi atoe mahari kwa mwenye mke, isiwe shida. Aidha, wananchi hao wamemtaka mwenyekiti wao kujiudhuru nafasi hiyo kwani amekuwa na tamaa na ulafi wa wake za watu kwa kiwango cha kutisha. Hawataki tena aendelee kuwa mwenyekiti wao abadani.

Wakuu sitaki kuwapotezea muda. Hebu wasikilize nyinyi wenyewe hapo chini wananchi wenye hasira kali wanavyosema:

MAONI YANGU
CCM siku zote wamekuwa wakipora rasilimali za taifa bila huruma na sasa wamehamia kwenye uporaji wa wake za watu.

Hivi hawa walafi ni lini wataacha kufakamia rasilimali za taifa pamoja na kupora wake za watu? Inauma na

bado uyu tuchukue nyinyi m'baki na yule Dume Dume !!!🍗🍗🍗🍗🍗 kuku zipo CCM kwani yeye zoba!!
 

Attachments

  • brendarupiaofficial_80100cd646ef4423b586d064370f67a4.jpg
    brendarupiaofficial_80100cd646ef4423b586d064370f67a4.jpg
    115.3 KB · Views: 17
Hao wanawake wanaochukuliwa nao ni mapunguani tu.
Wanawake wapo wengi ikiwa uyo kagoma si atafute mwengine

Mwanaume unalia lia itakusaidia nini!!!
bint ni mkubwa anajua alichofata kwa mume mpya !!!! Pesa sio kila kitu pengine bint kunamengine kapenda uko nyumba mpya !!!

Kaondoka mwenyewe hakubakwa!!!

Dk Slaa mbona tulimtetea kwenye kadhia kama iyo!!!
 
bado uyu tuchukue nyinyi m'baki na yule Dume Dume !!!🍗🍗🍗🍗🍗 kuku zipo CCM kwani yeye zoba!!
Unasema nini mkuu? Kwani vidume wapo CCM tu?
 
Wadeal na wake zao! Kama ni warahisi hata wauza duka watawagonga tu.
Akina nani wadeal na wake zao mkuu? Kwani huyo mwenyekiti wa CCM hawaoni wasichana mtaani akawaoe? Mpaka aoe mke wa mtu ndipo ajisikie? Inawezekana amemchukua kishirikina. Natoa wito poliCCM wamfanyie uchunguzi wa kina huyu mwenyekiti wa CCM.
 
Jamaa aliyeporwa mke alilia Sana baada ya kutoka kibaruani na kukuta hali hiyo.Ilibidi nikasikilize tu wimbo wa Kanda Bongoman-Monie na kibwagizo chake kisicho rasmi kwa maneno yangu "Eee mayeboo eee yakuporaa"!
Kuporwa mke na mwenyekiti unafikiri ni jambo rahisi mkuu? Porwa wewe tuone kama utakaa kimya. Mkuki kwa nguruwe.............
 
Huyo ni kiongozi wa wana CCM na waliompitisha kuwa kiongozi ni haohao maCCM na bila shaka kachukua malaya mke wa kada wa wa JiCCM lenzie.

Hitimisho; waache watafunane wao kwa wao kwani tangu lini CCM ikawa na watu wenye maadili?
Umeongea ukweli mtupu 💯% mkuu. Siongezi neno.
 
Alieporwa mwanamke ni mwanaume anaelalamika ni mwanamke/wanawake.
Wanawake hawapendi kitendo hiki kiovu na cha kinyama kilichotendwa na mwenyekiti wa CCM kwa mwanamke mwenzao mkuu.
 
Noombeni namba ya mwenyekiti. Atakuwa na kitu special. Sijaona kosa lake
Hujaona kosa lake kivipi mkuu? Kupora mke wa mtu sio kosa?
 
Huu ni ujinga wa Waswahili, Hawa wananchi wenyewe ni wapuuzi
Mkuu usi generalise. Huu ni ujinga wa Mwenyekiti tu; sio wa waswahili wote. Mwenyekiti anapenda sana mbunye. Apunguze.
 
Mkuu usi generalise. Huu ni ujinga wa Mwenyekiti tu; sio wa waswahili wote. Mwenyekiti anapenda sana mbunye. Apunguze.
Sasa kama mwenyekiti anapenda mbunye na anapewa na watu wazima kwa ridhaa yao wao inawahusu nini?!
 
Back
Top Bottom