Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

Wamesaau aliekuwa Katibu mkuu wa Chadema mh dk Slaa kawai kukwapua mke wa mtu!!!

Na maisha yakaendelea Mwanamke ndio mwenye haki ya mwili wake uwezi kutumia kigezo chochote kumlazimisha kubaki hasipo taka!!!
 
Chuga inatokana na neno Arachuga. Ambalo ni aka ya Arusha city.
Ina maana hili jina ndilo alilopewa yule refa wa Yanga anayeitwa Arajiga mkuu?
 
Wamesaau aliekuwa Katibu mkuu wa Chadema mh dk Slaa kawai kukwapua mke wa mtu!!!

Na maisha yakaendelea Mwanamke ndio mwenye haki ya mwili wake uwezi kutumia kigezo chochote kumlazimisha kubaki hasipo taka!!!
Hii haihusiani mkuu.
 
Lkn inashangaza Wanawake wa ile pande sikuizi ovyo ovyo visa vyao vya ovyooo kabisaaa !!!

wamekuwa zaidi ya wanawake wa tandale mana tatizo dogo kwao kubwaaa !!!

wamekosa kigoma tu cha kupiga!!

Tukikumbuka Kile kipindi chengine kuna Dada mwenzao wakasema anachukia waume za watu wakajazana kwenye Biashara yake kutoa maneno mengiii na vitisho !!!

mwisho wakadakwa wenyewe!!!

Sijui wanatakaje Wanaume tusipapase macho kidogo

Mbaya zaidi hata wanawake wenzao nao kosa muuzaji kucheka na mteja wake!!!!!!!!

wanakufungia mtaaa mzima!!!!!

Kule sio Salama kwasasa michadema imewaharibu wale Dada zetu!!!

wakijua wewe CCM tatizo wanakutaftia sababu yoyote wakufungie mtaa😜😜😜😜😜😜
Mkuu umeongea vema mwanzoni lakini hapo mwishoni umetia chumvi.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua kwamba kufanya hivyo ni kosa kisheria.

Imewalazimu wananchi hao kuandamana wakidai kuwa kama amemuona huyo mke wa mtu ni mwali, basi atoe mahari kwa mwenye mke, isiwe shida. Aidha, wananchi hao wamemtaka mwenyekiti wao kujiudhuru nafasi hiyo kwani amekuwa na tamaa na ulafi wa wake za watu kwa kiwango cha kutisha. Hawataki tena aendelee kuwa mwenyekiti wao abadani.

Wakuu sitaki kuwapotezea muda. Hebu wasikilize nyinyi wenyewe hapo chini wananchi wenye hasira kali wanavyosema:

MAONI YANGU
CCM siku zote wamekuwa wakipora rasilimali za taifa bila huruma na sasa wamehamia kwenye uporaji wa wake za watu.

Hivi hawa walafi ni lini wataacha kufakamia rasilimali za taifa pamoja na kupora wake za watu? Inauma na inahudhunisha sana!
Kilimanjaro ni Chuga? Hivi shuleni ulipita kweli?
 
Video inasema Arusha wewe unaandika Kilimanjaro.!! Uko timamu au bangi?
Kwani hujui watu wa Kilimanjaro na Arusha ni wanaingiliana kijiografia na kiutamaduni mkuu? Shuleni ulienda kusomea maarifa au ujinga?
 
Hii ndio CCM ninayo ijua mm. Ya chura aka kizimkazi
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom