Hapo nasimama na mwenyekiti wa CCM, hakuna jambo lolote baya alilolifanya linalowahusu.Wanawake hawapendi kitendo hiki kiovu na cha kinyama kilichotendwa na mwenyekiti wa CCM kwa wanamke mwenzao mkuu.
Bhalaa Sana Yaani Ikawa TabuYeah! Unamkumbuka yule mtoto wa marehemu Rwakatare aliyeroa kwa mke wa mtu?
Kwani mke wa mtu ni mwanamke wa mtaa? Kila mwanamtaa akihitaji anakuja kumuoa mkuu?Hapo nasimama na mwenyekiti wa CCM, hakuna jambo lolote baya alilolifanya linalowahusu.
Mke sio wa mtaa na amekubali kuolewa mwenyewe na mwenyekiti kwa ridhaa yake.
Umalaya Ndiyo Kazi Yao KubwaMaCCM yote ndivyo yalivyo mkuu.
Mke ni mtu mzima, haporwi, hakuna kitu kama kumpora mtu mke, mwanamke amemuacha mumwewe na ameenda mwenyewe kwa mweyekiti kwa ridhaa yake. Pia hata kama kweli alimpora mke hilo ni suala la mwenyekiti na aliyeporwa mke, sio suala la mtaa.Kwanini asitafute mwali badala ya kupora mke wa mtu mkuu?
Hiko ndicho ninachosema, huyo mwanamke hawahusu raia wa huo mtaa, ni ujuha na uswahili tu kufuatilia mambo yake.Kwani mke wa mtu ni mwanamke wa mtaa? Kila mwanamtaa akihitaji anakuja kumuoa mkuu?
Sasa hapa wewe unatetea nini mkuu? Bado sijaelewa msimamo wako ujue!Mke ni mtu mzima, haporwi, hakuna kitu kama kumpora mtu mke, mwanamke amemuacha mumwewe na ameenda mwenyewe kwa mweyekiti kwa ridhaa yake. Pia hata kama kweli alimpora mke hilo ni suala la mwenyekiti na aliyeporwa mke, sio suala la mtaa.
siku hz umekuwa kakorofi
Kilimanjaro sio chuga, chuga ni arusha bro . NikurekebisheKatika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua kwamba kufanya hivyo ni kosa kisheria.
Imewalazimu wananchi hao kuandamana wakidai kuwa kama amemuona huyo mke wa mtu ni mwali, basi atoe mahari kwa mwenye mke, isiwe shida. Aidha, wananchi hao wamemtaka mwenyekiti wao kujiudhuru nafasi hiyo kwani amekuwa na tamaa na ulafi wa wake za watu kwa kiwango cha kutisha. Hawataki tena aendelee kuwa mwenyekiti wao abadani.
Wakuu sitaki kuwapotezea muda. Hebu wasikilize nyinyi wenyewe hapo chini wananchi wenye hasira kali wanavyosema:
MAONI YANGU
CCM siku zote wamekuwa wakipora rasilimali za taifa bila huruma na sasa wamehamia kwenye uporaji wa wake za watu.
Hivi hawa walafi ni lini wataacha kufakamia rasilimali za taifa pamoja na kupora wake za watu? Inauma na inahudhunisha sana!
Tokea zamani tusiku hz umekuwa kakorofi
Tupige match basiNdiooo๐
Nguvu ya pesa mbele ya umasikini ni nguvu pia.Kama hawachukui kinguvu basi kosa ni la wake zao na sio Mwenyekiti.