Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

Wamesaau aliekuwa Katibu mkuu wa Chadema mh dk Slaa kawai kukwapua mke wa mtu!!!

Na maisha yakaendelea Mwanamke ndio mwenye haki ya mwili wake uwezi kutumia kigezo chochote kumlazimisha kubaki hasipo taka!!!
 
Chuga inatokana na neno Arachuga. Ambalo ni aka ya Arusha city.
Ina maana hili jina ndilo alilopewa yule refa wa Yanga anayeitwa Arajiga mkuu?
 
Wamesaau aliekuwa Katibu mkuu wa Chadema mh dk Slaa kawai kukwapua mke wa mtu!!!

Na maisha yakaendelea Mwanamke ndio mwenye haki ya mwili wake uwezi kutumia kigezo chochote kumlazimisha kubaki hasipo taka!!!
Hii haihusiani mkuu.
 
Mkuu umeongea vema mwanzoni lakini hapo mwishoni umetia chumvi.
 
Kilimanjaro ni Chuga? Hivi shuleni ulipita kweli?
 
Video inasema Arusha wewe unaandika Kilimanjaro.!! Uko timamu au bangi?
Kwani hujui watu wa Kilimanjaro na Arusha ni wanaingiliana kijiografia na kiutamaduni mkuu? Shuleni ulienda kusomea maarifa au ujinga?
 
Hii ndio CCM ninayo ijua mm. Ya chura aka kizimkazi
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…