Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

Nilijua jamaa ni Kura tu ndio wanaiba, kumbe ukizubaa wanabeba hadi mke. 😁
 
MiCCM ni mijitu ya ovyo sana
 
sasa kosa la mwenyekiti ni nini jamani? si ameenda mwenyewe
 
sasa kijana rashidi anataka haki gani sasa hapo? arejeshewe mkewe au?
Anataka mke wake arudishwe na mwenyekiti. Kwani huyu mwenyekiti hawaoni mademu wite waliotapakaa huku mtaani hadi apore amke wa mtu?
 
sasa akiwakata mwenye tatizo lintoka wapi? waafrika bana
Unachotaje mke wa mtu wakati mtaani kuna mabinti wa kumwaga? Maadili ya mwenyekiti yako wapi?
 
Tlaatlaah instinct desire ChoiceVariable
Ma CHAWA waandamizi mnaitwa huku mtoe majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…