Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Tume huru ipo?

Atawaambia nini watumishi huyu?hasa walimu,madaktari,wauguzi etc
 
Naona mwigulu karidhika na urais wa mawe

vinginevyo achukue fomu
 
Nasikia ipo fomu moja tu na imetoka hiyo hiyo kama unataka na wewe ugombee urais, nenda kwa Mwenyekiti wa chama ukachukue ukatoe na wewe photocopy! Na nani atakubali sasa kwenda! Ujipendi
 
Naona mwigulu karidhika na urais wa mawe

vinginevyo achukue fomu
Fomu ipo moja aliechukua ndo hiyo hiyo! Hakuna nyingine mbona Mheshimiwa hajamaliza kipindi cha pili! Harafu nyie mjimwabafai
 
Mpaka leo hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu ,Ina wagombea wote 42 wa mwaka 2015 hawautaki tena urais,Bulembo anasema rais lazima amalize vipindi viwili ,katiba kipengere kipi ,ibara ipi? Kama lazima amalize mihura miwili swali kwanini amechukua fomu ashindane na nani?
 
Hakuna mtu serious atajitokeza maana wote wanajua lazima CC itawakata mapema mno na hatma yao kwenye teuzi na hata 2025 itakuwa shakani

Lazima Jiwe aachiwe kumaliza mihura miwili. Usiulize ni ibara ipi ya katiba yao
 
Ukichukua hiyo fomu ni Sawa na kujisumbua tu maana Magufuli kazi yake inaonekana ko hautaungwa mkono na yeyote
 
Fomu ipo moja tu
 
Fomu ipo moja tu
 
Wapo wanaodai hakuna haja ya kuwa na watia nia zaidi ya Magu, kwa sababu ni kawaida kuongoza vipindi viwili.
Je ni katiba ya CCM,au ni maneno ya Bulembo?
Na kama ni katiba mbona kuna kigugumizi kuitetea?
 
We unaishi wapi? Ccm huu ni utaratibu wao kwa zaidi ya miaka 36.Sasa kwao ni kama sheria maana imeshakuwa customary law. Wewe hangaika na Chadema iliyokufa ambayo haina muelekeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…