Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hapana, chama kinafuata misingi ya demokrasia ya kushindanisha wagombea ili apatikane aliye bora.Mkuu iliandaliwa moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, chama kinafuata misingi ya demokrasia ya kushindanisha wagombea ili apatikane aliye bora.Mkuu iliandaliwa moja tu
Fomu ipo moja aliechukua ndo hiyo hiyo! Hakuna nyingine mbona Mheshimiwa hajamaliza kipindi cha pili! Harafu nyie mjimwabafaiNaona mwigulu karidhika na urais wa mawe
vinginevyo achukue fomu
Uchaguzi ukipita watamrudishia uanachama wake kama walivyomfanyia Sophia Simba na MtavatavanguMembe alionesha tu dalili ya kutia nia akafutwa uanachama
Fomu ipo moja tuMpaka leo hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu ,Ina wagombea wote 42 wa mwaka 2015 hawautaki tena urais,Bulembo anasema rais lazima amalize vipindi viwili ,katiba kipengere kipi ,ibara ipi? Kama lazima amalize mihura miwili swali kwanini amechukua fomu ashindane na nani?

Wanaccm wameridhishwa na kazi yake
Wanampa tano tena
Ukichukua hiyo fomu ni Sawa na kujisumbua tu maana Magufuli kazi yake inaonekana ko hautaungwa mkono na yeyote
Kwani kuna mtu amekatazwa kuchukua fomu? Wanajua na wenyewe kuwa jamaa kapiga kazi hatuwezi toboa bora tukausheNdio katiba ya ccm inavosema
We unaishi wapi? Ccm huu ni utaratibu wao kwa zaidi ya miaka 36.Sasa kwao ni kama sheria maana imeshakuwa customary law. Wewe hangaika na Chadema iliyokufa ambayo haina muelekeo.Mpaka leo hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu ,Ina wagombea wote 42 wa mwaka 2015 hawautaki tena urais,Bulembo anasema rais lazima amalize vipindi viwili ,katiba kipengere kipi ,ibara ipi? Kama lazima amalize mihura miwili swali kwanini amechukua fomu ashindane na nani?