olinkobole j
Senior Member
- Aug 24, 2019
- 121
- 65
Ningekuwa 40+ ningechukua pls chukueni fomuMpaka sasa aliyechukua fomu ni mmoja.
2015 waliochukua walikuwa zaidi ya 20.
Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Hamna hata photocopy ?
Kutochukua fomu pia ni demokrasia.Mtu ana uhuru wa kuchukua fomu au kutochukua Mimi kwa kupenda uhuru na demokrasia yangu nimeamua kutochukua .Kwani demokrasia unayoijua wewe ni ya kuchukua fomu tu ya kutochukua sio demokrasia mtu akiamua hachukui?
Hiyo ni dalili kuwa CCM hawapo salama, akimalizana na upinzani anahamia kwa wana CCM! View attachment 1481358
Sasa kuna tofauti gani na north korea ?
Mwaka 2010
Ccm walichukua form watu wangapi ?
Kuchukua fomu sio maonyesho ya sabasaba!!! kwa hiyo chadema mnachukua fomu kama maonyesho? mumegeuza ofisi ya chama kuwa jumba la maonyesho ya nanenane au?Msiogope onyesheni nia hata mtu akipata kura mbili sio mbaya
Itoke wapi wakati original anatembea nayo Jesus?
Ningekuwa 40+ ningechukua pls chukueni fomu
Kuchukua fomu sio maonyesho ya sabasaba!!! kwa hiyo chadema mnachukua fomu kama maonyesho? mumegeuza ofisi ya chama kuwa jumba la maonyesho ya nanenane au?
Ebu watajeMkuu ni wengi tu ndo ikapatikana tano bora
ya maonyesho? inaonekana kwenye ugombea uraisi tu chadema? mbona kwenye ugombea mwenyekiti chadema taifa ambako ruzuku yote hutua hiyo demokrasia mbona chadema hamna? uraisi hauna ruzuku ndio maana Mbowe kaachia yeyote agombee anayetaka cha msingi alipie fomu Mbowe apate pesa ya kunywa konyagi kubwa.Maana tuna demokrasia pana
🤣🤣Thubuuutuuuuuu, ilikuwa moja tu
mkanda unakabithiwa refa kwanzaHujawahi kuona hata kwenye mieleka aliena mkanda anagombania huohuo mkanda!! Mieleka bhana😂
ya maonyesho? inaonekana kwenye ugombea uraisi tu chadema? mbona kwenye ugombea mwenyekiti chadema taifa ambako ruzuku yote hutua hiyo demokrasia mbona chadema hamna? uraisi hauna ruzuku ndio maana Mbowe kaachia yeyote agombee anayetaka cha msingi alipie fomu Mbowe apate pesa ya kunywa konyagi kubwa.
Mbowe kageuza ugombea uraisi duka la mangi la kuuza fomu za ugombea.Angependa wanachadema wote wakanunue fomu za kugombea ni mradi wa lala salama
Tafadhali hamasisha wanachadema wengine wakachukue fomu waende na CASH asiye na CASH hatapewa fomu
Si kwa sababu ni taifa la wajingaSasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?
Kwani si YESU anatosha?