Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Uliisikia hotuba ya UVCCM?Nani kazuiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliisikia hotuba ya UVCCM?Nani kazuiwa?
Mhh wanaita face value, lakini ndani ya moyo ni arua:-Si alikuwa anasema hiyo kazi inachosha na ni nzito mbona ndo wa kwanza kuchukua fomu kwenye chama chake
Ndio.!
Ni mzee wa kupita bila kupingwaAnagombea dhidi ya nani?
Alafu tunajisifia kuwa tuna demokrasia ndani ya chama!Sa hao si wapeane tu home, maana hio fomu nauhakika itakua moja tu ishachukuliwa na hakuna mwingine atakayepata
Hapo Ufipa zipo ngapi?
Mkuu hivi una nini lakini wewe 🤣🤣🙌Chadema leo hawatalala maduka yote ya panadol dawa za kutuliza maumivu watazinywa sana chadema leo zitaisha pharmacy
Kingine kitakachowahi kwisha ni KONYAGI chadema leo watazinywa kwa frustrations hadi basi.Mbowe leo atakatiza dozi atandike konyagi.JOYCE MUKYA uwe karibu kumwangalia asianguke kuvunjika mguu pale alipovunjika majuzi kati.
UVCCM ndio katiba ya chama?Uliisikia hotuba ya UVCCM?
Chadema leo hawatalala maduka yote ya panadol dawa za kutuliza maumivu watazinywa sana chadema leo zitaisha pharmacy
Kingine kitakachowahi kwisha ni KONYAGI chadema leo watazinywa kwa frustrations hadi basi.Mbowe leo atakatiza dozi atandike konyagi.JOYCE MUKYA uwe karibu kumwangalia asianguke kuvunjika mguu pale alipovunjika majuzi kati.
Anashindana na Nani hapo ccm?
Hakuna wa kujitokeza hapo maana wanaogopa kushindana na yesuuuAnashindana na Nani hapo ccm?
Kuchukua fomu ni hiari sio lazima ukiona hakuna mwingine kachukua jua ni hiari .CCM tuko kidemokrasia mtu ana hiari ya kuchukua au kutochukua fomu.Hivyo ukiona hakuna aliyechukua zaidi Ya raisi Magufuli ujue wazi kuwa watu wametumia hiari yao kutochukua fomu sio kesi
Kwani CCM kuna katiba?UVCCM ndio katiba ya chama?
Muulize Nyalandu!Kwani CCM kuna katiba?
Hakuna wa kujitokeza hapo maana wanaogopa kushindana na yesuuu
Ndo nani uyo?Muulize Nyalandu!
Hayo ni mawazo yako!Ungerekebisha kichwa Cha habari chako kiwe hivi "Amechukua fomu ya kupora uraisi".
Ya membeAnagombea dhidi ya nani?