Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Kumbe anataka😀😀last time alisema amejikuta tu ikulu, hapendi hata!
 
Si alikuwa anasema hiyo kazi inachosha na ni nzito mbona ndo wa kwanza kuchukua fomu kwenye chama chake
Mhh wanaita face value, lakini ndani ya moyo ni arua:-
Salute,gwaride,makofi,ngoma ,nyimbo,magari yenye escort,ndege,Ikulu, wimbo wa taifa,picha ya ukutani.washauri,mawaziri.
 
Chadema leo hawatalala maduka yote ya panadol dawa za kutuliza maumivu watazinywa sana chadema leo zitaisha pharmacy

Kingine kitakachowahi kwisha ni KONYAGI chadema leo watazinywa kwa frustrations hadi basi.Mbowe leo atakatiza dozi atandike konyagi.JOYCE MUKYA uwe karibu kumwangalia asianguke kuvunjika mguu pale alipovunjika majuzi kati.
Mkuu hivi una nini lakini wewe 🤣🤣🙌
 
Huo ndiyo upeo wa akili zako umegotea hapo
Chadema leo hawatalala maduka yote ya panadol dawa za kutuliza maumivu watazinywa sana chadema leo zitaisha pharmacy

Kingine kitakachowahi kwisha ni KONYAGI chadema leo watazinywa kwa frustrations hadi basi.Mbowe leo atakatiza dozi atandike konyagi.JOYCE MUKYA uwe karibu kumwangalia asianguke kuvunjika mguu pale alipovunjika majuzi kati.
 
Nonsense
Kuchukua fomu ni hiari sio lazima ukiona hakuna mwingine kachukua jua ni hiari .CCM tuko kidemokrasia mtu ana hiari ya kuchukua au kutochukua fomu.Hivyo ukiona hakuna aliyechukua zaidi Ya raisi Magufuli ujue wazi kuwa watu wametumia hiari yao kutochukua fomu sio kesi
 
Back
Top Bottom