Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili




Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.


Maendeleo hayana vyama!


Sijaelewa ila nimejikuta nakumbuka hadithi ya Mzee Tola nikiwa darasa la pili kwa hakika uchoyo una mwisho.
 
Uoga unawasumbua sana, alafu utamsikia mtu anajisifu kuwa ndani ya chama chao kumejaa demokrasia
Itakuwa aibu ya mwaka kwa CCM kama mwingine hatachukua fomu hata ya kuzugia
 
Duh si alisukumiziwa na alikuwa anasubiri kuondoka!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Magufuli amechukua fomu ya kugombea Urais leo asubuhi

Fomu amekabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Ali Bashiru Jijini Dodoma.
Na ukutani Kuna picha ya Raisi anaechukua fomu ya kugombea URaisi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom