johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Mgombea urais kupitia Chadema!Ndo nani uyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgombea urais kupitia Chadema!Ndo nani uyo?
Kisomeke " Yesu achukua fomu kugombea uraisi"Ungerekebisha kichwa Cha habari chako kiwe hivi "Amechukua fomu ya kupora uraisi".
Msipomchagua mtakufa njaa kwa shemeji
Sasa mgombea uraisi wa Chadema anahusika vipi katika uzi huu?Mgombea urais kupitia Chadema!
Aliyepo ametekeleza ilani ya chama kwa 99%......,anapewa 5 tena!Itakuwa aibu ya mwaka kwa CCM kama mwingine hatachukua fomu hata ya kuzugia
Anaijua Katiba ya CCM vizuri sana!Sasa mgombea uraisi wa Chadema anahusika vipi katika uzi huu?
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyepo ametekeleza ilani ya chama kwa 99%......,anapewa 5 tena!
Membe mtatangaziwa na Mnyika!Membe anachukua lini?
Na wewe ukaamini hivyo ? [emoji3]Kumbe anataka[emoji3][emoji3]last time alisema amejikuta tu ikulu, hapendi hata!
Niliamini eti😀😀Na wewe ukaamini hivyo ? [emoji3]
Wanasiasa sio watu wa kuwaaminiNiliamini eti[emoji3][emoji3]
Itakuwa aibu ya mwaka kwa CCM kama mwingine hatachukua fomu hata ya kuzugia
Hayo ni mawazo yako!
Kisomeke " Yesu achukua fomu kugombea uraisi"
Na ukutani Kuna picha ya Raisi anaechukua fomu ya kugombea URaisi[emoji23][emoji23]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Magufuli amechukua fomu ya kugombea Urais leo asubuhi
Fomu amekabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Ali Bashiru Jijini Dodoma.
Sasa mgombea uraisi wa Chadema anahusika vipi katika uzi huu?
Aliyepo ametekeleza ilani ya chama kwa 99%......,anapewa 5 tena!